Uliona wapi hiyo timu ikicheza zaidi ya mechi dhidi ya Kaizer chief? Huo ubovu umeuona kwenye angle ipi? Je ni mech ipi ya kimashindano umeona ikicheza? Acha mihemko subiri mashindano yaanzeLi timu lao mwaka huu ni bovu Kwelikweli ingawa hawataki kuamini hivyo.
Mwaka huu tutegemee lawama na Malalamiko mengi kwa waamzi , Karia na TFF yake.
Kama matokeo yamefichwa, wewe umeyajuaje?Klabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
Matokeo yamefichwa
Hivi huu ni uzi wa kuisakama Yanga au kutoa matokeo ya mechi ya kirafiki aliyocheza Yanga dhidi ya JKU ya Zanzibar?Keshokutwa mnafanya tamasha lenu. Hivyo ni wakati sasa wa kuiacha Yanga ili ipumue. Maana nyuzi zenu za kuisakama zimezidi sasa humu jukwaani.
Mbona matokeo yako waz kila kona tuKlabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
Matokeo yamefichwa
Nyota njema huonekana asubuhiKlabu ya Young Africans Timu A [emoji617] jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
Matokeo yamefichwa
Nisaidie kushangaa mkuuHivi huu ni uzi wa kuisakama Yanga au kutoa matokeo ya mechi ya kirafiki aliyocheza Yanga dhidi ya JKU ya Zanzibar?
Utahira ulianzia kwa mama yako 😅Ona hili jinga. Mimi nimeleta matokeo ya mchezo. Wewe unakuja kumanua domo hapa. Taahira mama yako
Unaweza ficha matokeo afu yakajulikana?, Wewe na mleta mada ni kulwa na Dotto?.kontenti ipo hapo mwshon...kwa Nini mfiche matokeo?
Yanga A ndio timu ganj?Klabu ya Young Africans Timu A [emoji617] jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
Matokeo yamefichwa
Hawa jamaa wana shida sanaNisaidie kushangaa mkuu
Lakini na wewe u.etuficha taarifa, Yanga kacheza mechi mbili za kirafiki siku moja asubuhi na jioni.Klabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
Matokeo yamefichwa
unafuatilia mpira hafu hujui maana ya pre- season ? inatia kinyaaaa. aibu naona miyeKlabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
Matokeo yamefichwa