Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Uliona wapi hiyo timu ikicheza zaidi ya mechi dhidi ya Kaizer chief? Huo ubovu umeuona kwenye angle ipi? Je ni mech ipi ya kimashindano umeona ikicheza? Acha mihemko subiri mashindano yaanzeLi timu lao mwaka huu ni bovu Kwelikweli ingawa hawataki kuamini hivyo.
Mwaka huu tutegemee lawama na Malalamiko mengi kwa waamzi , Karia na TFF yake.