Yanga acheni kuhangaika na Feisal, ni ushamba

Mkuu, ni haki ipi hasa unayoipigania hapa? Unaelewa nini kuhusu mkataba? Tuache kuandika mada za kusherehesha majukwaa tuje na logical reasoning
 
Faisal kaishia darasa la saba B anatetemesha nchi,mimi na masters yangu dina hata kibarua
Mjinga mmoja kwenye dabate alidai efucation is better than money
 
Tatizo la Vilabu vyetu ni Uswahili

Tatizo la Wachezaji wa Kitanzania ni misrepresentation, kuna wachezaji wanajiwakilisha wenyewe na shule hawakwenda.

Mchezaji anakuwa na wakala shabiki wa timu anayoenda cheza

Ili wachezaji wa Kitanzania wafaidi matunda ya vipaji vyao, yawapasa kutafuta mawakala wazuri,
Yawapasa kuacha kuwa washabiki wa timu
Yawapaswa kuwa professional

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anayehangaika na Feisal......Mke akianza kukukataa haina haja ya kumlazimisha,ila kama anatikisa unamuacha tu ahangaike mwenyewe

Mbona mmerudisha hela??? Au kisa hakuna ya kutolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…