Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
 
mind game hizo...mkijikanya mtapigwa 20 kweli
 
Mbumbumbu bhana
Yaani kwa akili yako unawaza quality ya Yanga atafungwa na kolo

Hizi habari za derby haina mwenyewe zisikufariji
Hao viongozi wa simba waombee tu kocha Miguel Gamondi siku hiyo achezeshe kikosi dhaifu.

Kinyume na hapo, sioni ni kwa namna gani Yanga itashindwa kuondoka na pointi 3 muhimu dhidi ya hii simba yenye wachezaji wengi wenye fatique ya kucheza mechi nyingi mfululizo.
 
Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
Ali Kamwe kasema 5imba ni timu tishio hauja sikia?
 
Simba SC kushinda dhidi ya Yanga SC basi labda ni kwa kubahatisha tu Sare / Suluhu ila Kufungwa ni jambo la lazima tu.
 
Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
Ulivyokuta Manara karepost na Kwa vile unamchukia hukujipa Muda kuchunguza source? Aliyeanzisha hizo tuhuma ni Oruma akasapotiwa na Geoffrey Lea.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.

JamiiForums1683832807.jpg
 
Hao viongozi wa simba waombee tu kocha Miguel Gamondi siku hiyo achezeshe kikosi dhaifu.
Kwa nini achezeshe kikosi dhaifu? Naona unaongeza kisingizio kingine. Yanga ina kikosi kipana. kwa hiyo yeyote atakayepangwa sio dhaifu
 
Back
Top Bottom