SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Waliosoma Cuba ndiyo wanaelewa huu mchezo unaofanyika na naona Deportivo la Utopolo wanaingia kichwa kichwa. Hapa wanapigiwa simu wachezaji muhimu si kwa nia ya kuwarubuni ila wanajenga mazingira fulani ili wakifungwa, kutokee mvurugano kule Utopoloni.
Bahati mbaya hata Yanga ikidondosha points, Simba hii siyo ya kuiwekea dhamana.
Bahati mbaya hata Yanga ikidondosha points, Simba hii siyo ya kuiwekea dhamana.