kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
mind game hizo...mkijikanya mtapigwa 20 kweliNimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
Hao viongozi wa simba waombee tu kocha Miguel Gamondi siku hiyo achezeshe kikosi dhaifu.Mbumbumbu bhana
Yaani kwa akili yako unawaza quality ya Yanga atafungwa na kolo
Hizi habari za derby haina mwenyewe zisikufariji
Ali Kamwe kasema 5imba ni timu tishio hauja sikia?Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
Simba SC kushinda dhidi ya Yanga SC basi labda ni kwa kubahatisha tu Sare / Suluhu ila Kufungwa ni jambo la lazima tu.Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
Ulivyokuta Manara karepost na Kwa vile unamchukia hukujipa Muda kuchunguza source? Aliyeanzisha hizo tuhuma ni Oruma akasapotiwa na Geoffrey Lea.Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo kutoka kwa mnyama, niwape taarifa Yanga sc kuwa simba sio mbovu kama mlivyoaminishwa na hao wachambuzi hewa, tatizo la simba lipo kwenye finishing na linafanyiwa kazi kwa hio yanga sc msiingie uwanjani na matokeo yenu kwani mtazimia sana kama mlivyozoeleka.
Wenye akiliWenye akili wawili tu.
Huyu sio mwana Yangawakiongozwa na haji manara
Kwa nini achezeshe kikosi dhaifu? Naona unaongeza kisingizio kingine. Yanga ina kikosi kipana. kwa hiyo yeyote atakayepangwa sio dhaifuHao viongozi wa simba waombee tu kocha Miguel Gamondi siku hiyo achezeshe kikosi dhaifu.