Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

Waliosoma Cuba ndiyo wanaelewa huu mchezo unaofanyika na naona Deportivo la Utopolo wanaingia kichwa kichwa. Hapa wanapigiwa simu wachezaji muhimu si kwa nia ya kuwarubuni ila wanajenga mazingira fulani ili wakifungwa, kutokee mvurugano kule Utopoloni.

Bahati mbaya hata Yanga ikidondosha points, Simba hii siyo ya kuiwekea dhamana.
 
Kwa nini utopolo wanakuwaga wajinga hivyo?Kwani mganga wao kafa?
 
Me naombea mnara upande tu, kutoka kwenye G5 mpaka G6+ ....hayo mengine siyapi kipaumbele.
 
Wewe utakuwa sijui ni wale wale mnaoeneza propaganda za kipuuzi.
Manara kusema hivyo kama una akili timamu utajua tu kuwa wao ndio wanafanya huo mchezo.
Na lengo ni kutaka kuwatia moyo mashabiki wa Simba waingie kwenye mfumo,wajae uwanjani kusha wakutane na kichapo cha mbwa koko.

Kifupi mbinu zote za kishenzi msomali anaweza kuzifanya.Kama aliweza kuwafanya Masandawana wacheze chini ya kiwango,atashindwaje kwa hawa wachezaji wa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…