Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant.

Hivi what does it mean fixing a match ?

Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.

Yaani mahaba ya mashabiki kwa mitandao mkaenda kuandika barua bila kufanya analysis za kutosha, mjiridhishe na hizo claim zenu msifanye vitu kwa hype ya mitandaoni, shame !

Decision ya REFA ilikuwa ni sahihi na lile sio goli, kwa mujibu wa sheria ya CAF, ili mpira uwe announced as a goal , haitakiwi portion yoyote ya mpira iguse line . Kama hata robo tatu ipo ndani ya goal na 1/4 ndio imegusa line , hilo sio goal.

Mpira uliopigwa na Staphan, portion of it ulikuwa umegusa line, japo asilimia kubwa like 85% ulikuwa upo ndani ya goal , 15% bado mpira ulikuwa nje ya line ya goal …. Hivyo bado haukuwa kwenye vigezo vya kuitwa goal.

Ndio maana refa hakupoteza muda na VAR. Refa anaenda VAR endapo tu ata doubt decision yake, hamuwezi kumpangia mtu kazi kwa mpira wa kubahatisha bahatisha na kushika bomba.

Na kama mlikuwa not satisfied, mna captain angemshauri refa aende, and for sure jibu lingekuwa ni lile lile. Mnabaki kusubiria huruma. Haipo hivyo. Mnacheza na NBC , magoli yenu ya mchongo tu, na mlishawahi kufunga goli kama hilo mkaweka kati, sasa mmezoea na kujua bado mnacheza NBC, that is CAF League sio NBC!

Mmejiaibisha kuandika barua bila kufanya analysis, TATIZO PRO za SSC na Yanga zinaongozwa na Academia failures waliounga unga viuandishi wa habari diploma na vi diploma vya ukocha ndio maana hawana sense utasema wendawazimu.



Na CAF wala hawatopoteza muda kujibu gazeti lenu ambalo ni baseless claim.

Kama kweli you deserved , you had 90min in Dar, hakukuwa na maajabu yoyote, mkaenda next 90min, hakuna cha maana. Mkapewa na 5 penalties, bado hamkutoboa, still mnaweka claim as if Yanga ni timu kubwa.

Yanga na SSC ni timu ndogo ambazo hata uhakika wa kuvuka makundi kila mwaka HAZINA.

It is a shame barua kama ile kwenda CAF na tunaaibisha taifa kwa kukosa ukomavu kwenye soka.

Mmekaa 25 years hamjui robo fainal ni nini, hamna experience ndio maana claim zimekuwa nyingi, na yule refa atawafungulia mashtaka kwa defamation mliyofanya dhidi yake ili next time muache kufanya kazi kwa hype za mitandao, mfanye kazi kwa evidence informed practice.
 
Tanzania hakuna VAR ndio maana Yanga mna behave immaturely, na magoli yenu mengi huwa mnafunga offside na yanamna hiyo kisha mnaweka kati

Sasa mmekuja kwenye ligi za juu, mna behave kama mpo NBC
 
Imenishangaza hata mm hizi accusations za match fixing mpaka unajiuliza alie andika ana ushahidi gani ambao akiambiwa aoneshe ataweka mezani au Ndio hutu tu video clip ambato hatuoneshi angle zote kuona ni kwa kiasi gani mpira uliingia wote

Solution ilikua nikua na goal line technology TU ambayo kiuharisia ingetoa jibu sahihi na sio kutumia VAR maana bado Kuna cameras angle zinaleta contradiction
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani jana Cairo matokeo vipi?
 
Tanzania hakuna VAR ndio maana Yanga mna behave immaturely, na magoli yenu mengi huwa mnafunga offside na yanamna hiyo kisha mnaweka kati

Sasa mmekuja kwenye ligi za juu, mna behave kama mpo NBC
Kwa hiyo kuanzia mashabiki hadi wachambuzi huko South Africa kote na hadi Mameolods wanaosema it’s not their faults but referee wote hao hawapo matured?
 
Hawa Yanga huwa Wana mazoea ya hovyo sana au wanadhani kule ni NBC premier league?
Nawakumbusha nyinyi uto 🐸

1.mesahau mmeshawahi kufungwa goli ila refa wenu akaamuru ipigwe kona?

2.Mmesahau juzi tu dhidi ya Kagera Sugar mmefungwa goli halali kabisa ila refa wenu akasena ni offside?

3.Mmesahau msimu uliopita tu dhidi ya Namungo mlicheza faulo ya kupigiwa penalti refa wenu akajifanya hajaona, dakika hiyohiyo mlipiga counter attack mchezaji wenu akajiangusha peke yake bila kuguswa na refa wenu bila aibu akaamuru ipigwe penalti.
4.Mmeshasahau malalamiko ya Simba kuhujumiwa kwenye michuano hiyo kwa kuonewa na waamuzi mfano mzuri mechi dhidi ya Kaizer Chiefs ambapo Simba ilifungwa goli la Offside ya wazi kabisa na refa aligoma kwenda kuangalia kwenye VAR na kuamuru kuwa goli, mechi ambayo Simba ilitolewa kwa mikwaju ya Penalti na Utopolo mliishia kuikejeli Simba?
Sasa mmeonja kidogo sana tena kwa goli ambalo bado sio 100% clear, yaani lina utata lakini vilio na kelele kila mahali.
What goes around, comes around.
Mlichowafanyia wenzenu, mlichowacheka na kuwakejeli wenzenu kimewarudia, kelele na vilio viiingi utadhani soka mmeanza kuijua leo.
 

Taarifa nilizozipata ni kuwa CAF itawapiga fine, na yule refa anaishitaki Yanga kwa defamation

Yule Moderator wa match ya Yanga na MSF alipoulizwa alijibu hivi

[emoji327] The VAR team in the Mamelodi Sundowns vs Yanga game made the right decision. The ball didn't cross the line.

Young Africans, Chiefs and Pirates must learn to accept defeat in good spirit and stop using one angle to make decisions.

Tanzanian league has no VAR so this behaviour of Yanga Africans was expected.


Ishu kubwa hapa huko CAF ni wanataka ku ipressurize Yanga ilete evidence ya Fixing match kwa sababu hiyo sio claim Bali ni Accusations, any accusations have to be supported by evidence or else unakula fine au kufungiwa kushiriki CAF league
Barua itakuwa imeandikwa na ali kamwe using ChatGPT, alikamwe is form 4 failure aliyesomea ukocha wa miez 6 level C

Wabaki tu huko huko NBC ambako magoli mengi wanaweka kati ni mchongo
Walishawahi kumfunga Ihefu goli kama lile jamaa wakaweka kati fasta,

So behavior wanazoonesha was expected
 
Ngoja tuone mwisho hii saga but uongozi wa yanga wajifunze sio kila kitu cha kushadadia kufuata hyper ya mashabiki Kuna siku itawakosti kupereka Mambo unprofessional
 
Sasa SSC inahusikaje hapo?
 
Ulivyokomaa kuandika post hii nilidhani una point lakini umejiexpose sana kuonyesha madhaifu yako ambayo wengine tulikuwa hatuyajui. Nilitegemea kuwa utaonyesha video za VAR kutokea angle mbalimbali kuonyesha kuwa mpira haukuvuka line lakini kumbe unashupaa kwa kuja na picha za kuokoteza kwenyre mitandao ambazo hata hujui zilipigwa kwenye kiwanja gani na siku ipi wala hazina uhusiano kabisa na mchezo wa Yanga.

Ni hekima na busara sana kutokuandika upuuzi ila ni ujinga kuanzisha thread kama hii.
 

Ngoja mfungiwe ndio
Utakuwa na akili mnaongea snaa
 
Ngoja mfungiwe ndio
Utakuwa na akili mnaongea snaa
Thread uliyoleta haina mantiki kabisa na hukutakiwa kuanzisha thread nzima kuonyesha picha ambazo ni za mifano kutoka sehemu mbalimbali. Kama unaona kuwa uamuzi ni halali unatakiwa ulete ushahidi wa kuonyesha kuwa mpira wa Yanga haukuvuka msitari, siyo kuleta picha za mifano kutokea sehemu zisizohusika na mchezo unaolalamikiwa.

Ninaweza ku-argue kuwa barua aliyoandika mwanasheria wa Yanga ina makosa kwenye matumizi ya neno match-fixing, lakini siyo ushamba kwa Yanga kulalamikia administrative errors zilizofanywa na wasimamizi wa mchezo huo kwani hiyo ni haki yao na hawawezi kufungiwa kwa kuair feeling zao- Usilete ya MIGA hapa. Katika mazingira haya yenye tension ndipo mwamuzi anatakiwa ajiridhishe kwa kureplay video kwa karibu lakini yeye hakwenda kuangalia video ingawa mwanzoni alikuwa amekimbilia kwenda kuangalia video ya Lomalisa -huenda kutafuta namna ya kumwadhibu zaidi ya Yellow Card.

Nia ya ku-lodge malalamiko kama haya siyo kutaka kupewa ushidni au kubadilisha matokea badi ni kuweka documentary evidence ili kusaidia kuzudia matukio kama haya kujitokeza huko mbeleni tena. Usiuite ushamba kwa vile tu hujui lengo la barua ni nini. Nadhani utakuwa ni mmoja wa wanaodhani kuwa Yanga wanataka kupewa ushindi wa Mezani.

Sehemu nyingi duniani zinakiri kuwa Yanga imenyimwa bao la wazi halafu wewe unaleta MIGA hapa

 
England vs Germany world cup. Wakati mechi inaelekea half time bado 1-1. Lampard alifunga goli ilivuka line .ilikuwa iwe 2'-1 Ushahidi ulikuwa angle 7. Na camera 3D. Clear kabisa goli kuliko jana. Refa akakataa.
Lakini VAR haikuwepo na goal tecnology haikuwepo. Na hao England walifaidika miaka sitini dhidi ya Germany pia world cup. Ndio ikafanyika uwekezaji.

Yanga suala lao kwisha wametolewa.
Tunajifunza Africa kuwekeza zaidi katika VAR na Goal Technology. Lakini bado mpira wamuuzi ni bin adamu hadi leo ulaya na Technology yoote bado shida zipo ,malalamiko pia na ndio mpira.
Jana VAR ingetumika vilivyo kuna matukio mengi saana, penalt, red card na goli pia au off side pia. Sema Yanga kimataifa maliza mpira nyumbani kwa mkapa na Simba pia. Figisu ugenini zipo ndio kia Africa hiyo. Kivyetu vyetu.
Unashika bomba home and away na unasubiri bahati moja ikatokea hawakupewa bass kwisha. Tafuta bahati nne au tano uone utsnyimwa zote?
Kwa Mkapa asitoke mtu. Haya yote tusingeyaona. Mbona timu tokea Algeria ilipigwa nne bila . .. walilamika magoli mawili moja off side moja faulo lakini nyumbani na game ikaisha 4-0. Na ndio uwanja wa nyumbani.
Sasa Simba na Yanga wanapigana biti hadi kwa mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…