Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant.
Hivi what does it mean fixing a match ?
Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.
Yaani mahaba ya mashabiki kwa mitandao mkaenda kuandika barua bila kufanya analysis za kutosha, mjiridhishe na hizo claim zenu msifanye vitu kwa hype ya mitandaoni, shame !
Decision ya REFA ilikuwa ni sahihi na lile sio goli, kwa mujibu wa sheria ya CAF, ili mpira uwe announced as a goal , haitakiwi portion yoyote ya mpira iguse line . Kama hata robo tatu ipo ndani ya goal na 1/4 ndio imegusa line , hilo sio goal.
Mpira uliopigwa na Staphan, portion of it ulikuwa umegusa line, japo asilimia kubwa like 85% ulikuwa upo ndani ya goal , 15% bado mpira ulikuwa nje ya line ya goal …. Hivyo bado haukuwa kwenye vigezo vya kuitwa goal.
Ndio maana refa hakupoteza muda na VAR. Refa anaenda VAR endapo tu ata doubt decision yake, hamuwezi kumpangia mtu kazi kwa mpira wa kubahatisha bahatisha na kushika bomba.
Na kama mlikuwa not satisfied, mna captain angemshauri refa aende, and for sure jibu lingekuwa ni lile lile. Mnabaki kusubiria huruma. Haipo hivyo. Mnacheza na NBC , magoli yenu ya mchongo tu, na mlishawahi kufunga goli kama hilo mkaweka kati, sasa mmezoea na kujua bado mnacheza NBC, that is CAF League sio NBC!
Mmejiaibisha kuandika barua bila kufanya analysis, TATIZO PRO za SSC na Yanga zinaongozwa na Academia failures waliounga unga viuandishi wa habari diploma na vi diploma vya ukocha ndio maana hawana sense utasema wendawazimu.
Na CAF wala hawatopoteza muda kujibu gazeti lenu ambalo ni baseless claim.
Kama kweli you deserved , you had 90min in Dar, hakukuwa na maajabu yoyote, mkaenda next 90min, hakuna cha maana. Mkapewa na 5 penalties, bado hamkutoboa, still mnaweka claim as if Yanga ni timu kubwa.
Yanga na SSC ni timu ndogo ambazo hata uhakika wa kuvuka makundi kila mwaka HAZINA.
It is a shame barua kama ile kwenda CAF na tunaaibisha taifa kwa kukosa ukomavu kwenye soka.
Mmekaa 25 years hamjui robo fainal ni nini, hamna experience ndio maana claim zimekuwa nyingi, na yule refa atawafungulia mashtaka kwa defamation mliyofanya dhidi yake ili next time muache kufanya kazi kwa hype za mitandao, mfanye kazi kwa evidence informed practice.