Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Gazeti lote hili bado zile goli 5 zinakuuma?
 
hapo"vyura wakishindwa kuleta ushahidi wa match fixing"wanaweza kupigwa fine na kwenda jela"icho kipande nimekipenda.roho yangu burdaaani kabisaaa,,,!😁
 
Your fucked mooran..
 
Kwa hiyo kuanzia mashabiki hadi wachambuzi huko South Africa kote na hadi Mameolods wanaosema it’s not their faults but referee wote hao hawapo matured?
Mamelod umewasikia wapi wakisema huko upuuzi, acha ku- justify ujinga.
 
Hizi nazo eti ni akili! Wewe unavyopenda kula nani anakuingilia raha zako! Unavyopenda chabo ulishasikia mtu anakupigia kelele, mbona huachi ngono na sisi hatutii neno. Acha kujifanya maisha umeyapatia na usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu wengine.
 
Tanzania hakuna VAR ndio maana Yanga mna behave immaturely, na magoli yenu mengi huwa mnafunga offside na yanamna hiyo kisha mnaweka kati

Sasa mmekuja kwenye ligi za juu, mna behave kama mpo NBC
Huna akili
 
Swala la Cairo hawataki kabisa kuliongelea.

Wapigwa nje ndani, Dar 1, Cairo 2 Bila.

Aggregate Al Ahaly 3 Simba 0.
Jamaa wanataka mjadala mkuu uwe kuhusu goli lilikotaliwa la Yanga siyo magoli yaliyofungwa na Al-Ahly.
 
Viongozi wa Yanga wanaleta ushabiki wa kijuha wa kibongo uliozagaa mtaani na kwenye vyombo vya habari vya bongo katika jukwaa la kimataifa.
 
Yanga wanaongozwa na ujinga mingi.Who are they?Yanga?
 
Hakika
 
Hawa CAF na FIFA ukiwatuhumu kwa match fixing wanakugeuzia kibao ulete ushahidi ukishindwa unapigwa faini plus kufungiwa. Yanga wajiandae kisaikolojia
Ifike hatua hawa wajinga wapigwe nyundo ili next time wawe wanatumia akili. Wameenda mbali sana, basi hata wangekomaa na makosa ya refa, wamehemka wakaenda kwenye match fixing. Hizo ni tuhuma nzito huwezi kuandika andika tu
 
Eti ushahidi ni lile lilikuwa goli na Motsepe ni rais wa CAF na Sundowns, shenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…