rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Walizoea kujikomba kwa wageni na kubebwa na tff na serikali Ila huku CAF ni katimu kadogo kalikojaa ulalamishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala la Cairo hawataki kabisa kuliongelea.Kwani jana Cairo matokeo vipi?
Gazeti lote hili bado zile goli 5 zinakuuma?Hawa Yanga huwa Wana mazoea ya hovyo sana au wanadhani kule ni NBC premier league?
Nawakumbusha nyinyi uto 🐸
1.mesahau mmeshawahi kufungwa goli ila refa wenu akaamuru ipigwe kona?
2.Mmesahau juzi tu dhidi ya Kagera Sugar mmefungwa goli halali kabisa ila refa wenu akasena ni offside?
3.Mmesahau msimu uliopita tu dhidi ya Namungo mlicheza faulo ya kupigiwa penalti refa wenu akajifanya hajaona, dakika hiyohiyo mlipiga counter attack mchezaji wenu akajiangusha peke yake bila kuguswa na refa wenu bila aibu akaamuru ipigwe penalti.
4.Mmeshasahau malalamiko ya Simba kuhujumiwa kwenye michuano hiyo kwa kuonewa na waamuzi mfano mzuri mechi dhidi ya Kaizer Chiefs ambapo Simba ilifungwa goli la Offside ya wazi kabisa na refa aligoma kwenda kuangalia kwenye VAR na kuamuru kuwa goli, mechi ambayo Simba ilitolewa kwa mikwaju ya Penalti na Utopolo mliishia kuikejeli Simba?
Sasa mmeonja kidogo sana tena kwa goli ambalo bado sio 100% clear, yaani lina utata lakini vilio na kelele kila mahali.
What goes around, comes around.
Mlichowafanyia wenzenu, mlichowacheka na kuwakejeli wenzenu kimewarudia, kelele na vilio viiingi utadhani soka mmeanza kuijua leo.
Your fucked mooran..Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant.
Hivi what does it mean fixing a match ?
Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.
Yaani mahaba ya mashabiki kwa mitandao mkaenda kuandika barua bila kufanya analysis za kutosha, mjiridhishe na hizo claim zenu msifanye vitu kwa hype ya mitandaoni, shame !
Decision ya REFA ilikuwa ni sahihi na lile sio goli, kwa mujibu wa sheria ya CAF, ili mpira uwe announced as a goal , haitakiwi portion yoyote ya mpira iguse line . Kama hata robo tatu ipo ndani ya goal na 1/4 ndio imegusa line , hilo sio goal.
Mpira uliopigwa na Staphan, portion of it ulikuwa umegusa line, japo asilimia kubwa like 85% ulikuwa upo ndani ya goal , 15% bado mpira ulikuwa nje ya line ya goal …. Hivyo bado haukuwa kwenye vigezo vya kuitwa goal.
Ndio maana refa hakupoteza muda na VAR. Refa anaenda VAR endapo tu ata doubt decision yake, hamuwezi kumpangia mtu kazi kwa mpira wa kubahatisha bahatisha na kushika bomba.
Na kama mlikuwa not satisfied, mna captain angemshauri refa aende, and for sure jibu lingekuwa ni lile lile. Mnabaki kusubiria huruma. Haipo hivyo. Mnacheza na NBC , magoli yenu ya mchongo tu, na mlishawahi kufunga goli kama hilo mkaweka kati, sasa mmezoea na kujua bado mnacheza NBC, that is CAF League sio NBC!
Mmejiaibisha kuandika barua bila kufanya analysis, TATIZO PRO za SSC na Yanga zinaongozwa na Academia failures waliounga unga viuandishi wa habari diploma na vi diploma vya ukocha ndio maana hawana sense utasema wendawazimu.
View attachment 2955907
Na CAF wala hawatopoteza muda kujibu gazeti lenu ambalo ni baseless claim.
Kama kweli you deserved , you had 90min in Dar, hakukuwa na maajabu yoyote, mkaenda next 90min, hakuna cha maana. Mkapewa na 5 penalties, bado hamkutoboa, still mnaweka claim as if Yanga ni timu kubwa.
Yanga na SSC ni timu ndogo ambazo hata uhakika wa kuvuka makundi kila mwaka HAZINA.
It is a shame barua kama ile kwenda CAF na tunaaibisha taifa kwa kukosa ukomavu kwenye soka.
Mmekaa 25 years hamjui robo fainal ni nini, hamna experience ndio maana claim zimekuwa nyingi, na yule refa atawafungulia mashtaka kwa defamation mliyofanya dhidi yake ili next time muache kufanya kazi kwa hype za mitandao, mfanye kazi kwa evidence informed practice.
Mamelod umewasikia wapi wakisema huko upuuzi, acha ku- justify ujinga.Kwa hiyo kuanzia mashabiki hadi wachambuzi huko South Africa kote na hadi Mameolods wanaosema it’s not their faults but referee wote hao hawapo matured?
Nahalikuwa goli kweli.Kipofu tu ndiyo atasema lile siyo goli
Hizi nazo eti ni akili! Wewe unavyopenda kula nani anakuingilia raha zako! Unavyopenda chabo ulishasikia mtu anakupigia kelele, mbona huachi ngono na sisi hatutii neno. Acha kujifanya maisha umeyapatia na usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu wengine.Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Huna akiliTanzania hakuna VAR ndio maana Yanga mna behave immaturely, na magoli yenu mengi huwa mnafunga offside na yanamna hiyo kisha mnaweka kati
Sasa mmekuja kwenye ligi za juu, mna behave kama mpo NBC
Goli lile acheni kujifanya vichaaNahalikuwa goli kweli.
Jamaa wanataka mjadala mkuu uwe kuhusu goli lilikotaliwa la Yanga siyo magoli yaliyofungwa na Al-Ahly.Swala la Cairo hawataki kabisa kuliongelea.
Wapigwa nje ndani, Dar 1, Cairo 2 Bila.
Aggregate Al Ahaly 3 Simba 0.
Yanga wanaongozwa na ujinga mingi.Who are they?Yanga?Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant.
Hivi what does it mean fixing a match ?
Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.
Yaani mahaba ya mashabiki kwa mitandao mkaenda kuandika barua bila kufanya analysis za kutosha, mjiridhishe na hizo claim zenu msifanye vitu kwa hype ya mitandaoni, shame !
Decision ya REFA ilikuwa ni sahihi na lile sio goli, kwa mujibu wa sheria ya CAF, ili mpira uwe announced as a goal , haitakiwi portion yoyote ya mpira iguse line . Kama hata robo tatu ipo ndani ya goal na 1/4 ndio imegusa line , hilo sio goal.
Mpira uliopigwa na Staphan, portion of it ulikuwa umegusa line, japo asilimia kubwa like 85% ulikuwa upo ndani ya goal , 15% bado mpira ulikuwa nje ya line ya goal …. Hivyo bado haukuwa kwenye vigezo vya kuitwa goal.
Ndio maana refa hakupoteza muda na VAR. Refa anaenda VAR endapo tu ata doubt decision yake, hamuwezi kumpangia mtu kazi kwa mpira wa kubahatisha bahatisha na kushika bomba.
Na kama mlikuwa not satisfied, mna captain angemshauri refa aende, and for sure jibu lingekuwa ni lile lile. Mnabaki kusubiria huruma. Haipo hivyo. Mnacheza na NBC , magoli yenu ya mchongo tu, na mlishawahi kufunga goli kama hilo mkaweka kati, sasa mmezoea na kujua bado mnacheza NBC, that is CAF League sio NBC!
Mmejiaibisha kuandika barua bila kufanya analysis, TATIZO PRO za SSC na Yanga zinaongozwa na Academia failures waliounga unga viuandishi wa habari diploma na vi diploma vya ukocha ndio maana hawana sense utasema wendawazimu.
View attachment 2955907
Na CAF wala hawatopoteza muda kujibu gazeti lenu ambalo ni baseless claim.
Kama kweli you deserved , you had 90min in Dar, hakukuwa na maajabu yoyote, mkaenda next 90min, hakuna cha maana. Mkapewa na 5 penalties, bado hamkutoboa, still mnaweka claim as if Yanga ni timu kubwa.
Yanga na SSC ni timu ndogo ambazo hata uhakika wa kuvuka makundi kila mwaka HAZINA.
It is a shame barua kama ile kwenda CAF na tunaaibisha taifa kwa kukosa ukomavu kwenye soka.
Mmekaa 25 years hamjui robo fainal ni nini, hamna experience ndio maana claim zimekuwa nyingi, na yule refa atawafungulia mashtaka kwa defamation mliyofanya dhidi yake ili next time muache kufanya kazi kwa hype za mitandao, mfanye kazi kwa evidence informed practice.
HakikaUkishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Ifike hatua hawa wajinga wapigwe nyundo ili next time wawe wanatumia akili. Wameenda mbali sana, basi hata wangekomaa na makosa ya refa, wamehemka wakaenda kwenye match fixing. Hizo ni tuhuma nzito huwezi kuandika andika tuHawa CAF na FIFA ukiwatuhumu kwa match fixing wanakugeuzia kibao ulete ushahidi ukishindwa unapigwa faini plus kufungiwa. Yanga wajiandae kisaikolojia
Eti ushahidi ni lile lilikuwa goli na Motsepe ni rais wa CAF na Sundowns, shenzi kabisaImenishangaza hata mm hizi accusations za match fixing mpaka unajiuliza alie andika ana ushahidi gani ambao akiambiwa aoneshe ataweka mezani au Ndio hutu tu video clip ambato hatuoneshi angle zote kuona ni kwa kiasi gani mpira uliingia wote
Solution ilikua nikua na goal line technology TU ambayo kiuharisia ingetoa jibu sahihi na sio kutumia VAR maana bado Kuna cameras angle zinaleta contradiction
View attachment 2955955