Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Ifike hatua hawa wajinga wapigwe nyundo ili next time wawe wanatumia akili. Wameenda mbali sana, basi hata wangekomaa na makosa ya refa, wamehemka wakaenda kwenye match fixing. Hizo ni tuhuma nzito huwezi kuandika andika tu
Na hawajui madhara yake.Kesi ya mandevu dogo wa Ghana iliwashinda.Bernad Morrison.Wanarukia wasiyoyajua.
 

Tatizo lenu mshazoea NBC , goli la offiside ni goli , goli nje ya mstari ni goli.

Lile sio goli hata ukienda mbinguni. Nendeni kwenye ligi yenu mtapewa goli
 

Wajinga mpira wenyewe wamevuka robo kibahati tu na kwa rehema za sheria za CAF

TATIZO kubwa Tanzania hakuna Var , so this behavior was expected
 
Mamelod umewasikia wapi wakisema huko upuuzi, acha ku- justify ujinga.

Captain wa Mamelody kaulizwa vipi kuhusu goli la Yanga, alijibu yeye sio REFA.

Njoo kwetu, wachezaji wa Yanga wanasema lile goli hawana maturity hata ya lujibu kwa vyombo vya habari

Na huu ujinga wamemrithisha hadi kocha aibu a coach like him kuongea ujinga kama ule kwa media
 
sikia tena usikie vizuri sana,hata uangalie kwa ango yoyote ile uke mpira ukikuwa 100% umeingia,pia kumbuka refa alishapuliza filimbi ya twende kati,ila baadae akageuza msimamo,kama wewe ni mjinga kaa na ujinga wako,huku unajamba ho yo,yanga imetimiza matakwa ya kikanuni,ambayo inaturuhusu,timu kutuma malalamiko,hatujakurupuka kama wewe ukivyokurupuka kama umebanwa mavi baafa ya kula kiporo cha ugali wa mhogo kutoka nakapanya,shubamiti
 

Leta angel zote kuwa mpira uliingia, ; 15 % ya mpira ulikuwa nje. Lile sio goli tatizo mmezoea mambo ya NBC . Hakuna Refa aliyeweka mpira kati

Mashabiki wa Yanga mnatiana ujinga na mpira wa kubahatishaa
 
kama haikuwa goal mbona kona hawajapewa na mpira ulitolewa kwa kichwa??
 
Huyu Refa siku akipangiwa kuja Dar mimi nitadeal nae binafsi, yaani aombe Mungu nisiwepo tu Dar hiyo siku, maanina zake!
 
kama haikuwa goal mbona kona hawajapewa na mpira ulitolewa kwa kichwa??
Mkuu mpira haukuvuka wote mstari, pia kona kipa mpira aliushika kona ilikua bado, tatizo ni kwamba hatuna line technology ref hana kosa kabisa.
 
Kwamba sisi tulikuwa tunaangalia mpira upi?
 
Mkuu mpira haukuvuka wote mstari, pia kona kipa mpira aliushika kona ilikua bado, tatizo ni kwamba hatuna line technology ref hana kosa kabisa.
Sasa wewe unasemaje mpira haukuvuka na hapo hapo unazungumzia kutokuwepo goal line technology? Au wewe ulikuwa nayo hadi ukachagua upande?

Kwani magoli kama hayo yameanza sasa baada ya kuanzishwa hiyo teknolojia?

Kuna wakati angalia kitu kwa angle zote. Sio upande unaopenda wewe.
 
Unachuki balaa
 
Watu kama hao wanataka muda wote habari za siasa ccm hivi na chadema vile ndio mambo muhimu kwao wanaona, kwenye jukwaa hata watu wakijadili upuuzi kiasi gani hukuti wakisema kitu kwa kuwa tu ni siasa.
 
kama haikuwa goal mbona kona hawajapewa na mpira ulitolewa kwa kichwa??

Mpira uliruka wakati filimbi imeshapigwa. Wenyewe hilo swali ndio mnatembea nalo

Mnaona kama mna reasoning , tatizo lenu ndio mara ya kwanza kucheza robo kutokea 98, na mmezoea NBC.

Pamoja na kelele zenu unakuta mwakani hata makundi hamtoboi
 

Wewe umeangalia kwa angle zipi ?
 
Wewe ni tahira wa mwisho even your blur picture zinaonesha mpira uko ndani uwezi kuwa na akili kuliko watu wote kichaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…