Utafanya nn? Wee ishia kubwata kwenye kibodi.Huyu Refa siku akipangiwa kuja Dar mimi nitadeal nae binafsi, yaani aombe Mungu nisiwepo tu Dar hiyo siku, maanina zake!
Tarehe 20 April ni wiki mbili tu zijazo; anza kujiandaa kisaikolojia kwani tutaongeza na idadi ya mabango mitaani.Poleeee sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemshangaa mleta uzi, upuuzi wa Yanga anahusisha Simba.Sasa SSC inahusikaje hapo?
Simba inahusika vipi na barua ya malalamiko ya Yanga?Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.
Ndo kuwa mtaenda semi final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tarehe 20 April ni wiki mbili tu zijazo; anza kujiandaa kisaikolojia kwani tutaongeza na idadi ya mabango mitaani.
Kwani Simba wako wapi sasa; jiandaeni kisaikolojia tuje kuwaangushia kitu kizito tareher 20 April.Ndo kuwa mtaenda semi final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetolewaaaaa