Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Huyu Refa siku akipangiwa kuja Dar mimi nitadeal nae binafsi, yaani aombe Mungu nisiwepo tu Dar hiyo siku, maanina zake!
Utafanya nn? Wee ishia kubwata kwenye kibodi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.
Simba inahusika vipi na barua ya malalamiko ya Yanga?
 
Tarehe 20 April ni wiki mbili tu zijazo; anza kujiandaa kisaikolojia kwani tutaongeza na idadi ya mabango mitaani.
Ndo kuwa mtaenda semi final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetolewaaaaa
 
Ndo kuwa mtaenda semi final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetolewaaaaa
Kwani Simba wako wapi sasa; jiandaeni kisaikolojia tuje kuwaangushia kitu kizito tareher 20 April.

Lengo la Yanga lilikuwa ni kufika Makundi, lakini bado tumetetemesha Afrika kwa pira la hali ya juu mpaka Mamelodi kabebwa na Refa. Sikiliza Semaji la Kapu hapa kuhusu malengo ya Simba; ameambnulia chume tatu ndani na nje.


View: https://www.youtube.com/watch?v=gyNZlIhL8cA
 
Back
Top Bottom