Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 hivi wewe unawaamini UtopoloWewe jamaa una matatizo ya kufikiria. Yanga ingekuwa wamepukurupuka basi ungeona wakitoa taarifa za upatikanaji wa tiketi tokea mapema sana, tokea jumanne au jumatano ingekuwa tayari wamepost tiketi zinapopatikana na za sh ngapi. Lakini imekuwa kimya kwa muda mrefu ili kufatilia ruksa kutoka CAF. Hivyo mpaka imefikia leo kupost kuhusu tiketi maana yake ruhusa iliyokuwa unasubiriwa kutoka CAF wameshapewa. Usijifanye wewe mjuaji wa Covid-19 kuliko hao CAF
Mkuu usiwastue ,acha waingize mashabiki wapigwe faina na kusimamishwa kushiriki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wewe unawaamini Utopolo
Tumalizane na hili kwanzaNa Kocha huyo huyo ndiyo akawabeba walio na kocha wa kiwango cha elimu ya Prof Maji marefu kwenda CL na kesho Taifa linakwenda kupata aibu kubwa sana.
CAF wameturuhusu wewe unabisha kama nani?
Nendeni mkasome nyinyi memkwa hamjachelewa
Tumalizane na hili kwanza View attachment 1933200
Viongozi wa Yanga aisee sijui ni lini wataacha kufanya kazi kwa kubabaisha. Ukiingia kwenye ukurasa wa Azam wametoa taarifa mapema sana kuwa wamepewa taarifa kutoka shirikisho la soka Africa (CAF) kwamba mashabiki hawaruhusiwi katika mechi yao ya jumamosi. Cha ajabu uongozi wa Yanga wanatangaza hawana taarifa yoyote kuhusu kurusiwa au kutoruhusiwa kwa mashabiki. Sasa hao Azam wanaongozwa na CAF ipi tofauti na ya Yanga? Hao CAF wawape taarifa timu ya Azam halafu ya Yanga iwakalie buyu mpaka wajichukulie maamuzi ya kutangaza tiketi jambo ambalo haliwezikani. Yanga inatatizo la kiuongozi ubabaishaji mwingi sana
Viongozi wa Yanga akili zao zipo kwenye viingilio hawaangalii matokeo ya timu ,wamekuwa wababaishaji sana,hebu angalia suala la Morison hadi leo bado ubabaishaji . Nilitegemea Senzo angeleta mabadiliko kwa vile ana exposure kubwa lakini hamna loloteViongozi wa Yanga aisee sijui ni lini wataacha kufanya kazi kwa kubabaisha. Ukiingia kwenye ukurasa wa Azam wametoa taarifa mapema sana kuwa wamepewa taarifa kutoka shirikisho la soka Africa (CAF) kwamba mashabiki hawaruhusiwi katika mechi yao ya jumamosi. Cha ajabu uongozi wa Yanga wanatangaza hawana taarifa yoyote kuhusu kurusiwa au kutoruhusiwa kwa mashabiki. Sasa hao Azam wanaongozwa na CAF ipi tofauti na ya Yanga? Hao CAF wawape taarifa timu ya Azam halafu ya Yanga iwakalie buyu mpaka wajichukulie maamuzi ya kutangaza tiketi jambo ambalo haliwezikani. Yanga inatatizo la kiuongozi ubabaishaji mwingi sana
huyo jamaa na Manara akili zao zinafananaMkuu upo na hali gani muda huu
cuf ya lipumbaCAF wameturuhusu wewe unabisha kama nani?
Nendeni mkasome nyinyi memkwa hamjachelewa
MIJITU isiyojiewaWewe jamaa una matatizo ya kufikiria. Yanga ingekuwa wamepukurupuka basi ungeona wakitoa taarifa za upatikanaji wa tiketi tokea mapema sana, tokea jumanne au jumatano ingekuwa tayari wamepost tiketi zinapopatikana na za sh ngapi. Lakini imekuwa kimya kwa muda mrefu ili kufatilia ruksa kutoka CAF. Hivyo mpaka imefikia leo kupost kuhusu tiketi maana yake ruhusa iliyokuwa unasubiriwa kutoka CAF wameshapewa. Usijifanye wewe mjuaji wa Covid-19 kuliko hao CAF
Yani jamaa kaandika Kwa herufi kubwa bila kujua madhara ya kile alichokiandika...duh! hayo majibu hadi Raha.Na Kocha huyo huyo ndiyo akawabeba walio na kocha wa kiwango cha elimu ya Prof Maji marefu kwenda CL na kesho Taifa linakwenda kupata aibu kubwa sana.