Yanga acheni utapeli, Mechi za Club bingwa hazitakiwi kuwa na watazamaji

Viongozi wa Yanga walitaka kutapeli mashabiki hii inaonyesha mule Yanga kuna watu wapo kiupigaji tu inamana ingetokea mashabiki tumekata tiketi mngesemaje
 
😂😂😂😂 hivi wewe unawaamini Utopolo
 
Viongozi wa Yanga aisee sijui ni lini wataacha kufanya kazi kwa kubabaisha. Ukiingia kwenye ukurasa wa Azam fc wametoa taarifa mapema sana kuwa wamepewa taarifa kutoka shirikisho la soka Africa (CAF) kwamba mashabiki hawaruhusiwi katika mechi yao ya jumamosi. Cha ajabu uongozi wa Yanga wanatangaza hawana taarifa yoyote kuhusu kurusiwa au kutoruhusiwa kwa mashabiki. Sasa hao Azam wanaongozwa na CAF ipi tofauti na ya Yanga? Hao CAF wawape taarifa timu ya Azam halafu ya Yanga iwakalie buyu mpaka wajichukulie maamuzi ya kutangaza tiketi jambo ambalo haliwezikani. Yanga inatatizo la kiuongozi ubabaishaji mwingi sana
 

Ni Utapeli na janja janja nyingi ya kina Hersi hiyo.
 
Viongozi wa Yanga akili zao zipo kwenye viingilio hawaangalii matokeo ya timu ,wamekuwa wababaishaji sana,hebu angalia suala la Morison hadi leo bado ubabaishaji . Nilitegemea Senzo angeleta mabadiliko kwa vile ana exposure kubwa lakini hamna lolote
 
MIJITU isiyojiewa
 
Na Kocha huyo huyo ndiyo akawabeba walio na kocha wa kiwango cha elimu ya Prof Maji marefu kwenda CL na kesho Taifa linakwenda kupata aibu kubwa sana.
Yani jamaa kaandika Kwa herufi kubwa bila kujua madhara ya kile alichokiandika...duh! hayo majibu hadi Raha.
 
Naona msukule fc wameususa uzi kwa aibu.

Hawa jamaa hawachoki kudanganywa tu.

Mara tukikosa unmbingwa waulizwe gsm

Mara surprise ya mchezaji sijui chama, louis akaja manara

Hapa washawapiga mashabiki hela tayari.

Uto uto...msukule fc, chura fc, ndala fc muwe mnajiongeza hata kwa kudesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…