Yanga Afrika lazima tukae chini tujitafakali kwa walichokifanya Simba liwe funzo kwetu

Huwezi kujipambanua una timu bora kwa kumfunga gwambina, ihefu hell no, . funga as vita, piga waarabu, piga mazemba, piga casablanca, hapo ukijisifu inakuwa ni halali kabsa
 
Mim naupeo mkubbwa wakuchambua soka ukiona naandika kitu si ushabiki nakama kuna media yoyote inataka mchambuz wa soka please contact me au niunganishe

Safi sana mkuu.

Nakushauri, jaribu kuwa unaandika makala mbalimbali za michezo unazipost humu.

Na pia tafuta emails za magazeti ya michezo, kuwa unajaribu kuwatumia makala zako, wakizikubali wanazichapa na unaweza pata shout-out kutokea hapo.

Kingine, fatilia vipindi vya michezo na uwe unapiga simu kutoa uchambuzi wako. Pia kuna kipindi huwa wanafanya vipindi nje ya studio, hasa maeneo ya vibanda au bar kunapoonesha mpira, jua ratiba zao na anza kuhakikisha unapata nafasi ya kuhojiwa.
 
Kwa hatua iliyofika Simba Sports Club kuingia hatua ya makundi CAF Champions League inatupa changamoto wapinzani na sisi tukae chini.

Tutafakari;Je, siku tukipata nafasi yakuwakilisha nchi je kikosi chetu kinaweza kutufikisha mbali cha msingi tu Yanga wajipange watengeneze kikosi bora chenye uwezo wa kushindana na timu kubwa Afrika kama Mamelod, Kaizer, Orlando, TP Mazembe, Al Ahly.

Kwa mawazo yangu Yanga kuna haja ya kuachana na Maiko Sarpong, Haruna Niyonzima, Carlos Carinho. Wasajili wachezaji wakubwa nawenye uwezo mkubwa kuzidi hao maana naona kama vile hawana mchango kwenye timu.
Kwani Yanga haijawahi kuingia kwenye makundi? Au mbwembwe tu , makundi yameshapangwa tutajua ubora wa kikosi Cha Simba,kwenye Ligi ya Tanzania mpaka Sasa timu Bora Ni Yanga kwani haijapoteza mchezo hata mmoja wakati mtani kapigwa michezo 2.
 
Na Simba waachane na Mugalu maana ni Sarpong mwembamba.
Subiri kwenye makundi utaona ubora wa wachezaji wa Simba.Kelele zote hizi Ni baada ya kumfunga platinum .Mbona hamsemi mlivyofungwa na Prison na Mtibwa wakati hiyo timu ya Yanga haijapoteza mechi hata moja kwenye Ligi na malengo hawategemei kupoteza mechi hata moja.Tusubiri muda utasema tatizo mashabiki wa Simba mna kelele na viherehere Kama mwanamke wa kizaramo akipiga pilau tu au akivaa vizuri kila mtu mtaani atajua
 
Huwezi kujipambanua una timu bora kwa kumfunga gwambina, ihefu hell no, . funga as vita, piga waarabu, piga mazemba, piga casablanca, hapo ukijisifu inakuwa ni halali kabsa
Simba kumfunga Platinum imekuwa gumzo si unajua kipofu kaona mwezi alafu Hawa jamaa hawakutegemea kushinda ndiyo maana kelele zimekuwa nyingi wamesahau kipigo Cha kwenye Ligi Cha Tanzania prisons na Mtibwa.Muda utasema makundi yameshapangwa tutajua ubora wa kikosi Chao .Ni kipigo tu kuanzia goli 5
 
Simba siyo timu inayopaswa kuingia hatua za makundi. Basi tu, mpira wetu wa Africa ndiyo ulivyo.
Hufuatilii soka la Afrika na ndio maana hujui kwa nini simba imefankiwa kuingia makundi kwa msimu huu na miaka ya karibuni.

Tangu Mwaka 2017 CAF waliongeza idadi ya timu kutoka 8 hadi 16 zinazounda makundi na hii kupelekea timu zenye uwezo unaokaribiana kukutana knock out stage. Simba hakaribiani viwango na nkana au platinum au zesco? Kipi cha ajabu simba kuitoa nkana, platinum au zesco?
 
Subiri kwenye makundi utaona ubora wa wachezaji wa Simba.Kelele zote hizi Ni baada ya kumfunga platinum .Mbona hamsemi mlivyofungwa na Prison na Mtibwa wakati hiyo timu ya Yanga haijapoteza mechi hata moja kwenye Ligi na malengo hawategemei kupoteza mechi hata moja.Tusubiri muda utasema tatizo mashabiki wa Simba mna kelele na viherehere Kama mwanamke wa kizaramo akipiga pilau tu au akivaa vizuri kila mtu mtaani atajua
Platinum tummepiga nne bila.

Yanga tulishampiga nne pia.

Nani bora kati ya Simba na Yanga ?
 
Simba kumfunga Platinum imekuwa gumzo si unajua kipofu kaona mwezi alafu Hawa jamaa hawakutegemea kushinda ndiyo maana kelele zimekuwa nyingi wamesahau kipigo Cha kwenye Ligi Cha Tanzania prisons na Mtibwa.Muda utasema makundi yameshapangwa tutajua ubora wa kikosi Chao .Ni kipigo tu kuanzia goli 5
Ulivyomjinga we unadhani Simba bado ni level ya Utopolo tu ?
 
Safi sana mkuu.

Nakushauri, jaribu kuwa unaandika makala mbalimbali za michezo unazipost humu.

Na pia tafuta emails za magazeti ya michezo, kuwa unajaribu kuwatumia makala zako, wakizikubali wanazichapa na unaweza pata shout-out kutokea hapo.

Kingine, fatilia vipindi vya michezo na uwe unapiga simu kutoa uchambuzi wako. Pia kuna kipindi huwa wanafanya vipindi nje ya studio, hasa maeneo ya vibanda au bar kunapoonesha mpira, jua ratiba zao na anza kuhakikisha unapata nafasi ya kuhojiwa.
Afate huu ushauri hakika itamsaidia sana, safar moja huanzisha nyingine
 
Hufuatilii soka la Afrika na ndio maana hujui kwa nini simba imefankiwa kuingia makundi kwa msimu huu na miaka ya karibuni.

Tangu Mwaka 2017 CAF waliongeza idadi ya timu kutoka 8 hadi 16 zinazounda makundi na hii kupelekea timu zenye uwezo unaokaribiana kukutana knock out stage. Simba hakaribiani viwango na nkana au platinum au zesco? Kipi cha ajabu simba kuitoa nkana, platinum au zesco?
Simba haikaribiani na Nkana wala Platinum.
Simba ile sanasana KMC.
 
Yanga a.k.a viti maalum,a.k.a madera fc,ushamba ndo tatizo lao kubwa.
 
Tatizo ni watu kama nyie msiojua mpira.Simba kupoteza kwa prisons sio kitu cha ajabu.Usidhani mpira una hesabu za kitoto kama unazotaka kutuaminisha.
Liverpool alifungwa goli 7 na Aston Villa lakini huwezi kusema Aston Villa ni bora kuliko Liverpool.

Kwa hoja zenu hizi mkiitwa nyani mtakuwa mmepewa hadhi sana bora mngeitwa nyumbu
Simba kumfunga Platinum imekuwa gumzo si unajua kipofu kaona mwezi alafu Hawa jamaa hawakutegemea kushinda ndiyo maana kelele zimekuwa nyingi wamesahau kipigo Cha kwenye Ligi Cha Tanzania prisons na Mtibwa.Muda utasema makundi yameshapangwa tutajua ubora wa kikosi Chao .Ni kipigo tu kuanzia goli 5
 
Aisee umeongea point kabisa, kama watani wana akili lazima wajitafakari. Wao walichokuwa wanafurahia ni kupanda ndege tu kipindi kile wanachukua ubingwa na kuwakilisha nchi.
Tatizo la Yanga ni Akili Tu, mengineyo ni Nyongeza tu

-Shabiki wa Yanga akikuta Shabiki wa Simba anaamini Simba inaweza kuwa Bingwa Africa anamuambia Wewe ni Kichaa.

-Yanga wakati anashiriki sana Club Bingwa utawasikia wanajitamba Kupanda Ndege wa kimataifa wanaita Simba wa Matopeni, sikuwahi kuona shabiki wa Yanga akizungumzia kuingia Makundi, robo final nk wao wanazungumzia Kupanda Ndege tu.
- Kitendo cha Mashabiki wa Yanga kupokea wapinzani wa Simba na kuwapa msaada ni ushahidi wa matatizo Ya Akili ya Yanga.

Yanga wakijirekebisha kwenye Mentality mengine yote yatakuja na tutaijenga Pamoja Tanzania yetu kisoka kama TP Mazembe na As Vita wanavyoijenga Congo yao kila leo
 
Subiri kwenye makundi utaona ubora wa wachezaji wa Simba.Kelele zote hizi Ni baada ya kumfunga platinum .Mbona hamsemi mlivyofungwa na Prison na Mtibwa wakati hiyo timu ya Yanga haijapoteza mechi hata moja kwenye Ligi na malengo hawategemei kupoteza mechi hata moja.Tusubiri muda utasema tatizo mashabiki wa Simba mna kelele na viherehere Kama mwanamke wa kizaramo akipiga pilau tu au akivaa vizuri kila mtu mtaani atajua
Utopolo ndo maana Luc alisema ni kama manyani. Unasemaje eti Yanga ndio timu bora kwa vile bado haijafungwa. Kwenye ligi kinachoangaliwa ni point. Simba akishinda vipolo vyake anakua sawa points na wewe afu unajisifu. Acha muda uamue.
Ila Utopolo siwashangai, mchezaji kusajiliwa tu mnaweke sherehe. Simba 2017/2018 ilienda mechi 36 bila kufungwa, ko nyie bado hata rekodi ya simba hamjaifikia
 
Kwa hatua iliyofika Simba Sports Club kuingia hatua ya makundi CAF Champions League inatupa changamoto wapinzani na sisi tukae chini.

Tutafakari;Je, siku tukipata nafasi yakuwakilisha nchi je kikosi chetu kinaweza kutufikisha mbali cha msingi tu Yanga wajipange watengeneze kikosi bora chenye uwezo wa kushindana na timu kubwa Afrika kama Mamelod, Kaizer, Orlando, TP Mazembe, Al Ahly.

Kwa mawazo yangu Yanga kuna haja ya kuachana na Maiko Sarpong, Haruna Niyonzima, Carlos Carinho. Wasajili wachezaji wakubwa nawenye uwezo mkubwa kuzidi hao maana naona kama vile hawana mchango kwenye timu.
Wewe mchambuzi uchwara unaiona Simba ni level za kina Mamelod, Zamalek, Mazembe?
 
Back
Top Bottom