Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.

Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :

1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.

Ongeza nyingine.
 
Haujiulizi kwa nini umekaa miaka 24 bila kugusa hiyo nafasi?, kwa ufupi mpira hauchezwi mdomoni bali uwanjani tena hadharani.
Hata Shetani anajua kuwa shirikisho kunawahusu tangu ile tar 9 mlipovutwa sharabu.
 
Mwaka 1998 wakati Yanga anaingia kwenye makundi, nyie mlikuwa mmeingia lini mara ya mwisho?
 
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.

Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :

1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.

Ongeza nyingine.
Kuitoa Nini? Ah Hilal hawana mwiko nyuma kama nyie
 
Mwaka 1998 wakati Yanga anaingia kwenye makundi, nyie mlikuwa mmeingia lini mara ya mwisho?
Hhahaaaaa duuu hebu usitukumbushe tulishaanza kusahau kuwa ilikua 1998 ndo mara yenu ya mwisho kupanda ndege za kimataifa.
 
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.

Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :

1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.

Ongeza nyingine.
Hiyo namba 5, kamwe hawawezi kusema. Maana wanajua kitakacho watokea siku hiyo.
 
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.

Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :

1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.

Ongeza nyingine.
Mnaenda kumanuliwa kinyama sana mtarudi mnachechemea kudadadeq
 
Back
Top Bottom