Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Umesema za kirafiki sasa ulitaka tucheze na timu gani kumbuka ile mechi haikuwa ya majaribioMechi za kirafiki mnacheza na mbuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hamko serious
Mwaka 1998 wakati Yanga anaingia kwenye makundi, nyie mlikuwa mmeingia lini mara ya mwisho?Haujiulizi kwa nini umekaa miaka 24 bila kugusa hiyo nafasi?, kwa ufupi mpira hauchezwi mdomoni bali uwanjani tena hadharani.
Hata Shetani anajua kuwa shirikisho kunawahusu tangu ile tar 9 mlipovutwa sharabu.
Sasa mechi ipi mliyocheza ya majaribio?kwa ajili ya michuano ya CAF?Umesema za kirafiki sasa ulitaka tucheze na timu gani kumbuka ile mechi haikuwa ya majaribio
Kuitoa Nini? Ah Hilal hawana mwiko nyuma kama nyieKatika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.
Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :
1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.
Ongeza nyingine.
Will scoren't they?Future impossiple tense
Hhahaaaaa duuu hebu usitukumbushe tulishaanza kusahau kuwa ilikua 1998 ndo mara yenu ya mwisho kupanda ndege za kimataifa.Mwaka 1998 wakati Yanga anaingia kwenye makundi, nyie mlikuwa mmeingia lini mara ya mwisho?
Hiyo namba 5, kamwe hawawezi kusema. Maana wanajua kitakacho watokea siku hiyo.Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.
Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :
1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.
Ongeza nyingine.
Mtapigwaaa yani mark my words trh 23 mtachapika kama ngomaHiyo namba 5, kamwe hawawezi kusema. Maana wanajua kitakacho watokea siku hiyo.
Toka kuwa shabiki MBUMBUMBU A.K.A MAKOLO hadi kuwa Nabii uchwara [emoji1787]Mtapigwaaa yani mark my words trh 23 mtachapika kama ngoma
Kwani Makolo wana akili?Hiyo namba 5, kamwe hawawezi kusema. Maana wanajua kitakacho watokea siku hiyo.
Ongezea hapo kuwa wanachezea ndotoni na mechi za kirafiki wanachezea machoniYanga mpira wenu mnachezea kwenye vyombo vya habari.
Mnaenda kumanuliwa kinyama sana mtarudi mnachechemea kudadadeqKatika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.
Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :
1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.
Ongeza nyingine.