Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

Attachments

  • E19516E1-5821-421B-BA45-AAF012C6D34F.jpeg
    E19516E1-5821-421B-BA45-AAF012C6D34F.jpeg
    107.2 KB · Views: 4
Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli.

[emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui uanze na nani umuache nani[emoji23][emoji23]

Soma Pia: Yanga SC VS Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Utabiri wangu: Yanga 4 - 0 Simba

NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.


Duke na andambwile harafu aucho na mudar
 
Back
Top Bottom