Yanga akishinda leo nipigwe ban

Yanga akishinda leo nipigwe ban

Tunachukua 6 points kwa belouzdad, tuna chukua 6 points kwa Medeama tuna chukua 2 points kwa Al ahly Cairo.
Quarter final tutakae kutana nae ni halali yetu
 
Muhimu tu baada ya matokeo, usiukimbie huu uzi wako. Na hili ndilo jambo la msingi kwetu. Hayo mambo ya kuomba kupigwa ban, sidhani kama yana athari yoyote ile kwa sisi wananchi.
 
Usimalize maneno, mm Yanga siipendi na ctaki kuiona duniani lkn kwa namna walivyojipanga nje ya uwanja hakyamungu kama hawashindi basi sare.Nje ya uwanja wana nguvu za giza za hatari sana.
 
Tabiri moja haina mbwembwe wala maneno mengi na imekuwa
 
Muhimu tu baada ya matokeo, usiukimbie huu uzi wako. Na hili ndilo jambo la msingi kwetu. Hayo mambo ya kuomba kupigwa ban, sidhani kama yana athari yoyote ile kwa sisi wananchi.
Gongowazi mwenzako huyu ujue
 
Back
Top Bottom