Tunachukua 6 points kwa belouzdad, tuna chukua 6 points kwa Medeama tuna chukua 2 points kwa Al ahly Cairo.
Quarter final tutakae kutana nae ni halali yetu
Muhimu tu baada ya matokeo, usiukimbie huu uzi wako. Na hili ndilo jambo la msingi kwetu. Hayo mambo ya kuomba kupigwa ban, sidhani kama yana athari yoyote ile kwa sisi wananchi.