parolko tarantura
Senior Member
- Mar 28, 2023
- 149
- 243
Achana na watu wenye roho ya ushirikina, hata hauwasaidii zaidi ya kuharibu mipango ya watu, uliona wapi mganga anajiagua?Mmekalia ushirikina tu, ndio maana timu yenu haizidi robo fainali. Kama mpira ni uchawi, vipi mbona nyie wachawi maarufu mara kuwasha Moto, mara gari kurudi kinyumenyume kilometa 30 mbona hamchukui makombe?.