Yanga akishinda na waarabu nipigwe ban miezi sita

Yanga akishinda na waarabu nipigwe ban miezi sita

Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba safari hii nishatibu mipango na naendelea kutibua
Uko hapo jibondo sio!
 
wanatumia gharama sana kuna mshikaji walimtoa kafara ikaniuma sana alafu alikuwa anaipenda yanga kinyama
Duuh, ilikuwaje hadi ikawa hivyo?, pia ilikuwa mwaka gani?
 
Hata mwaka bado alifariki mtongani
 
What is so special about you!! Hata ungepigwa Ban ya maisha! Una msaada/umuhimu gani humu jamii forums?

Dogo acha kutafuta kick kupitia mgongo wa timu kubwa kabisa Barani Afrika, kama Yanga. Wewe ni mtoto mdogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaah
 
Simba tangu YANGA anaanza haya mashindano ya KIMATAIFA mshazoea kubet kwa ahadi ya kutoa mikundru yenu... Kwahiyo marinda yamewatoka sana kuanzia mtoano, robo, nusu na sasa fainali... Inshort tutawabandua tena nyie makolo na hao waume zenu wa kiarabu...
Matokeo yatakua hivi Fainali
YANGA 2-0 USM
USM 1-1 YANGA
YANGA [emoji169][emoji172] BINGWA [emoji471][emoji966]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukujeee hapaaa ujioneeeeeeee
 
Back
Top Bottom