Yanga akishinda na waarabu nipigwe ban miezi sita

Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba safari hii nishatibu mipango na naendelea kutibua
Uko hapo jibondo sio!
 
wanatumia gharama sana kuna mshikaji walimtoa kafara ikaniuma sana alafu alikuwa anaipenda yanga kinyama
Duuh, ilikuwaje hadi ikawa hivyo?, pia ilikuwa mwaka gani?
 
Hata mwaka bado alifariki mtongani
 
What is so special about you!! Hata ungepigwa Ban ya maisha! Una msaada/umuhimu gani humu jamii forums?

Dogo acha kutafuta kick kupitia mgongo wa timu kubwa kabisa Barani Afrika, kama Yanga. Wewe ni mtoto mdogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukujeee hapaaa ujioneeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…