Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

Atakua bado na nafas ya shirikisho, apambane kwa upande huo.
 
Aisee kuna yule mwamba mwingine wa kuitwa Adebayor na yy anakula wa vhuya kule Berkane ana kaa bench tu
 
Naiona yanga kwenye makundi ya shirikisho na si champions league
ahirikisho huko ukumbuke kuna pyramid, cape town city, RS berkane, Asec mimos n.l
 
Sijaona mchezaji bongo wa kulipwa Mil 20
 
Kikosi cha Yanga hakifiki hata $ 1m.
Hasara itoke wapi?
Kuna vikosi kama cha Wydad, kapigwa na Rivers
 
Naiona yanga kwenye makundi ya shirikisho na si champions league
Mtoano wa huko ni mgumu zaidi... yanga alipewa zalan sababu kaizidi zalan, confederation anapewa wale walioshinda raundi ya pili.. anaweza akawa berkane, pyramids, al masry etc... wajitahidi kwa al hilal ndio wepesi ulipo...
 
Al-hilal sio wepesi hata kidogo...
 
Al-hilal sio wepesi hata kidogo...
Ni kweli ila hiyo aliyesema anawaona yanga makundi ya confederation, mtoano wa huko kwa yanga ni mgumu zaidi sababu yanga inatambulika kama timu ya chini ukilinganisha na waliobaki confederation hivyo droo ikifanywa, top seed wanapangwa na lower seed... yanga kama watadondokea huko wategemee kukutana na kigogo...
 
Kikosi cha Yanga hakifiki hata $ 1m.
Hasara itoke wapi?
Kuna vikosi kama cha Wydad, kapigwa na Rivers
Wanafanya kila mbinu hiyo gemu washinde ila Nigeria fitna nao wanazijua ngoja tuone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…