Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

Kwenye hiyo hasara, wewe unapoteza shilingi ngapi? Halafu hata itokee wakapoteza huo mchezo, si wanaenda kwenye mtoano tena wa Kombe la Shirikisho?
 
Sisi yanga hatukusajili kwa ajili ya haya mashindano ya CAF sisi tumesajili kwa ajili ya kumfunga Simba tu ndo lengo letu tukutane tarehe 23
 
Watani watashinda Inshallah zetu dua kama Taifa kwa umoja wetu makundi tutafuzu all together Simba na Yanga
 
Ikiwezekana hata kugombea ubingwa tuache aisee tusubiri hizo nafasi tunazopewa na simba.
 
Bado watakuwa na nafasi shirikisho, wakaze tu wakifanya vzr shirikisho watawasahaulisha utopolo wenzao.
 
Kwani lengo la yanga si ni kuifunga Simba!
Hasara gani watapata iwapo wanapata usingizi kwa kuikamia Simba ili wajulikane CAF?!!
Ndio nimeshangaa,hawana hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…