Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

Ukiwa unauangalia mpira kwa mawazo haya unaweza ukaonekana hujielewi.

PSG anasajili na kulipa mishahara mikubwa lakini UEFA anaitafuta kwa tochi.

Man city ndo usiseme.

Man u hata UEFA hashiriki.

Leo To mazembe katolewa na timu ambayo haina uwekezaji mkubwa kama wake je tuseme amepata hasara?
 
Nilichoelewa ni kuwa Yanga wanalipa vizuri wachezaji wao.
 
Mafanikio ya Yanga ni kuifunga Simba.
Tayari evaluation imeshaanza ya kufanya loss obtained
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…