- Thread starter
- #61
duh, kumbeNBC hawatoi hy 500m, Azam Tv ndio wametoa hy pesa. NBC wametoa 100m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, kumbeNBC hawatoi hy 500m, Azam Tv ndio wametoa hy pesa. NBC wametoa 100m
TP mazembeAkitolewa anakutana na waliotolewa wenzake.
ukiobgeza na marupupu mengine inafikaHesabu za vijijini hizo mkuu ndio maana Wakulima tunapigwa sana na Wafanyabiashara..
Huyu mbona ana vinasaba na Aziz Ki?[emoji16]
kweli kabisa, kuna nyumba hapo na mambo mengine240 ni around 300 hukohuko
Shilikisho yupo to mazembeNaiona yanga kwenye makundi ya shirikisho na si champions league
Mtoa mada anewakilisha mbumbumbu wenzakeSio vizuri kumkatisha tamaa mgonjwa
Nilichoelewa ni kuwa Yanga wanalipa vizuri wachezaji wao.Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa Klabu ya Yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. Aziz Ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil. 20 kwa mwezi.
Huyu peke yake anachukua mshahara wa kama mil. 300 kwa mwaka. NBC Ligi Kuu wanatoa mil. 500, je, hii si hasara? Morrison kawapiga sana Yanga pia, Mayele naye kakiwasha anadai hela kama ya Aziz Ki.
Ndiyo maana ile siku ya mechi ya Yanga na Al Hilal, Hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa.
Hapa mbumbumbu walikuwa hawaamini uwekezaji huu Yanga inakwenda fainali CAF, unakuja kuwapiga mbumbumbu 5G na inaingia robo fainali club bingwa.kama ni uwekezaji usiokiwa na faida ndio huu aisee
We waache tu hao.Hapa mbumbumbu walikuwa hawaamini uwekezaji huu Yanga inakwenda fainali CAF, unakuja kuwapiga mbumbumbu 5G na inaingia robo fainali club bingwa.
Watajijua wenyewe na litimu lao la hovyo hovyo... timu imekuwa ya maneno mengi lakini vitendo sufuri
😅😅😅😅😅😅😅Hoja yako fikirishi. Hivi pale kwa wapya ni nani mwenye nafuu. Naona kama woote ni hasara