Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

Ukiwa unauangalia mpira kwa mawazo haya unaweza ukaonekana hujielewi.

PSG anasajili na kulipa mishahara mikubwa lakini UEFA anaitafuta kwa tochi.

Man city ndo usiseme.

Man u hata UEFA hashiriki.

Leo To mazembe katolewa na timu ambayo haina uwekezaji mkubwa kama wake je tuseme amepata hasara?
 
Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa Klabu ya Yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. Aziz Ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil. 20 kwa mwezi.

Huyu peke yake anachukua mshahara wa kama mil. 300 kwa mwaka. NBC Ligi Kuu wanatoa mil. 500, je, hii si hasara? Morrison kawapiga sana Yanga pia, Mayele naye kakiwasha anadai hela kama ya Aziz Ki.

Ndiyo maana ile siku ya mechi ya Yanga na Al Hilal, Hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa.
Nilichoelewa ni kuwa Yanga wanalipa vizuri wachezaji wao.
 
Mafanikio ya Yanga ni kuifunga Simba.
Tayari evaluation imeshaanza ya kufanya loss obtained
 
Back
Top Bottom