Oyaa embu nikumbushe ile slogan yako...Vipi kuhusu Azam ndugu yangu? Je ile ya Novemba 5 nayo ilikiwa inafadhiliwa na GSM?
Hivi sijui huwa mnafikiria kweli au?
Kwani Simba wakati anafungwa 5 Kwa 0 walikua wanadhaminiwa na GSM...?GSM wana akili sana
Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao.
Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.
Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM,Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata
Wanayo familia kubwa sana ,nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM
Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6,home and away games,
Yanga Bingwa
Na mechi iliyofatwa mlichapwa Goli 2, Ngao ya jamii mkachapwa Goli 1, Inonga na Mkude wakiwa wameshaondoka.. Je..! Na nyinyi mlikua chini ya ufadhiri wa GSM...?Jikite kwenye mada,mliwahonga mkude na inonga

Ni wajinga pekee wanaoweza kuendelea na hoja mfu kama iyo yako, si mlisema yanga ameshuka kiwango, sasa timu iliyoshuka kiwango inapataje matokeo, mmetandikwa mechi 3 mfululizo na nyie gsm anawadhamini?GSM wana akili sana
Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao.
Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.
Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM,Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata
Wanayo familia kubwa sana ,nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM
Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6,home and away games,
Yanga Bingwa
Ile kadi nyekundu ya jana ni kituko na kichekesho,aliyechexa rafu anamlazimisha refa ampe red cardNi wajinga pekee wanaoweza kuendelea na hoja mfu kama iyo yako, si mlisema yanga ameshuka kiwango, sasa timu iliyoshuka kiwango inapataje matokeo, mmetandikwa mechi 3 mfululizo na nyie gsm anawadhamini?
Kwa hiyo Azam mpaka sasa ana uhakika wa point sita kibindoni kwa Namungo?GSM wana akili sana
Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao.
Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.
Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM,Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata
Wanayo familia kubwa sana ,nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM
Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6,home and away games,
Yanga Bingwa
Unauliza habari za November 5 kana kwamba hukusikia baadhi ya Viongozi wa Simba walipoiomba TFF na TAKUKURU wachunguze simu na miamala ya baadhi ya Wachezaji wao siku chache kabla ya Derby?Vipi kuhusu Azam ndugu yangu? Je ile ya Novemba 5 nayo ilikiwa inafadhiliwa na GSM?
Hivi sijui huwa mnafikiria kweli au?