Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.
Pia, ukichunguza kwa makini, utagundua kwa timu zenye uwezo, swala la home and away lina effects ndogo sana hasa katika soka la siku hizi. Timu mbovu ndio huwa zinaathirika sana zinapokuwa ugenini lakini sio vilabu vyenye ubora vinavyoweza kushinda popote na Yanga ikiwemo.
Muda utaaongea.