Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Okay! Magoli mawili bila, yanahitajika!Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.
Muda utaaongea.
Kwanini umewastua Mbumbumbu mapema hivi?Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.
Muda utaaongea.
Msichokijuwa leo Yanga ilikuwa inapambana na timu mbili, moja uwanjani na moja ilikuwa invisible.Kwanini umewastua Mbumbumbu mapema hivi?
Ungekaa kimya tu maana kwenye mpira lolote huwa lawezekana, kikubwa ni kuchanga karata vyema na bahati iwepo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hata mbili moja tunakwenda kwenye penalties.Okay! Magoli mawili bila, yanahitajika!
Yani wewe unafungwa na Namungo bado unaongea maneno yoote haya. Dah! Kweli Dunia tambara bovuWaarabu meza yao ya genge, miguu yake imechimbiwa chini. Simba tu ndio wanaweza kufanya hivyo, sio Yanga.
Mshazoea kufunga vibonde huyu mwarabu koko kiasi kawaonyesha
Mkiweza kupeleka mvua na huko kwao mnaweza kuja na kikombe,ila vinginevyo niko palee!Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.
Pia, ukichunguza kwa makini, utagundua kwa timu zenye uwezo, swala la home and away lina effects ndogo sana hasa katika soka la siku hizi. Timu mbovu ndio huwa zinaathirika sana zinapokuwa ugenini lakini sio vilabu vyenye ubora vinavyoweza kushinda popote na Yanga ikiwemo.
Muda utaaongea.
wamejiwai aisee.Mbona mmekuja haraka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga atakufa goli au sita bilaHiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.
Pia, ukichunguza kwa makini, utagundua kwa timu zenye uwezo, swala la home and away lina effects ndogo sana hasa katika soka la siku hizi. Timu mbovu ndio huwa zinaathirika sana zinapokuwa ugenini lakini sio vilabu vyenye ubora vinavyoweza kushinda popote na Yanga ikiwemo.
Muda utaaongea.
Kilalaheri Mr.KashandeHiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.
Pia, ukichunguza kwa makini, utagundua kwa timu zenye uwezo, swala la home and away lina effects ndogo sana hasa katika soka la siku hizi. Timu mbovu ndio huwa zinaathirika sana zinapokuwa ugenini lakini sio vilabu vyenye ubora vinavyoweza kushinda popote na Yanga ikiwemo.
Muda utaaongea.
Yaani mtu ana wachambua anavyotaka ndani ya box kisha anatoa pasi ya upendo, alafu eti timu yenye uwezo,, ni uwezo upi huo broo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.