Yanga anakwenda kutwaa kombe ugenini kwa kupindua meza kama alivyofanya Tunisia

Usiwe na ndoto za kijinga Kijana, hapa Yanga kishaaga mashindano......kalambwa kwao na alitawaliwa kama mtoto vile asiyejitambua, usitegemee makubwa wakiwa Algeria, utakuja jiua kwa masikitiko na haibu.
 
[emoji23][emoji23]
Kampa, kampa tena, anao anao, afu akafinya akampa pasi ya upendooo.

Kula chumaaa hikoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Goooooooool furaha ya wananchi haijadumuuu....ndani ya dkk 3 waarabu wamemaliza furaha yaoo...da da da daaa
 
Mimi ni mtanzania mwenye asili ya Algeria, ukisemacho ni uongo mtupu na kutoijua historia ya usm algers, wale si malumo wala rivers, ...kingine yanga sio klabu bora ni ilikupata bahati ya kupangiwa timu za kawaida mnoo ukiachilia tp mazembe ambae nae angekuwa kwenye ubora wake usingeambulia point yoyote kutoka kwao
 
Timu zote ngumu alizocheza nazo Yanga mwaka huu hakuna aliyoifunga hata Moja tofauti na timu zinazoshuka madaraja ktk ligi zao.
Yanga vs vipers 0 , 2
Hilaly vs Yanga 1, 0
Yanga vs simba 0, 2
Yanga vs USM Alger 1 , 2
Hao vibonde wa malumo na club Africain mlizozifunga zisiwe kipimo kwenu Vinginevyo taifa linaenda kuingia kwenye aibu ya karne.
 
Kampa, kampa tena, anao anao, afu akafinya akampa pasi ya upendooo.

Kula chumaaa hikoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado mtu ana kuambia timu yenye uwezo,, mpaka unajiuliza ni uwezo upi huo
 
Na bado mtu ana kuambia timu yenye uwezo,, mpaka unajiuliza ni uwezo upi huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili bao la 2 linanimalizia bando sichoki kutazamaaa
 
Aiseee, haya kuku anafikiria kumfuata mwewe
 
Apia kama asipopondua meza upigwe ban ya miezi 6 kama una uhakika na usemayo.
 
Waarabu hawatumii meza. Wanatumia Mkeka. So we mkia sisi tunaenda kupindua mkeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…