Mpigwe kibao cha usoni haraka mmeanza kuweweseka wajinga nyie.Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Ukute na wewe ni mcha-mbuzi 🤣😂🤣Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
walijazana nyuma ila matokeo yakuwaje? 😄 😄 😄 😀Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Kama meshindwa kumfunga Bamako nje ndani mtaweza kweli?Yanga tusilewe sasa.Kwel timu iko vyedi ila sio kwa kujipa matumaini haya namna hii.
Tuwe na kiasi.
Hapa tu kupita kwenda robo bado tuko mguu nje mguu ndani hati hati...lolote laweza kutokea
Ofcz lolote laweza tokea ila si vizur Yanga kuanza kujimwambafy mapema namna hiiiKama meshindwa kumfunga Bamako nje ndani mtaweza kweli?
Yanga akiwa nyumbani anafanya vizuri akiwa nje anaboronga.
Simba anapiga nje ndani. Akiwa home au away ana uwezo wa kufanya vizuri.
Wanacheza kombe la walioshindwa wanajiita mabingwa.Kwa kikosi nnavyokiona sikupingi kabisa
Makolo Kwa ule mpira wao....huku wangetoka Kwa aibu
Yanga akiwa away ni mbovu 100%.Ofcz lolote laweza tokea ila si vizur Yanga kuanza kujimwambafy mapema namna hiii
Sawa ..ni mawazo yako na muhimu kuheshimiwa mkuuYanga akiwa away ni mbovu 100%.
Yanga mechi za away ameshinda ngapi?
Yanga haina uwezo wa kucheza kombe la washindi.
Yanga anauwezo wa kucheza kombe la timu zilizoshindwa kwenye kombe la washindi.
Mayele ni mzuri akiwa Tanzania ila akiwa away ni mbovu sana.Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
1. Simba anacheza Club bingwa AfrikaSawa ..ni mawazo yako na muhimu kuheshimiwa mkuu
Mmhhhh sasa hapa huongei ki sport..umeanza kuongea kimbumbumbu...Anyway hata hivyo mi sio mjuzi sasa acha waje wenye yanga yao..mi ni mpenz wa kawaida tuu wa soka1. Simba anacheza Club bingwa Afrika
2. Yanga anacheza Shirikisho (losers' cup).
Yanga haina hadhi ya kufananishwa na Simba.
Simba yupo kwenye club bingwa afrikaKama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Usiwe na akili ya kukariri, Monastir ambaye ndiye anayeongoza kundi la Yanga na ambaye ndiye timu iliyomtoa bingwa mtetezi (Berkane) katika mashindano, imeshindwa kumfunga Bamako nje ndani. Monastir walitanguliwa ila wakaja kuchomoa goli na mechi kuisha sare. Kwahiyo hiyo Bamako usifikiri ni wabovu kisa wamefungwa na Yanga.Kama meshindwa kumfunga Bamako nje ndani mtaweza kweli?