Yanga anaweza kuchukuwa kombe ili la shirikisho

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao

Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani

Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
 
Mpigwe kibao cha usoni haraka mmeanza kuweweseka wajinga nyie.
 
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao

Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani

Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Ukute na wewe ni mcha-mbuzi 🤣😂🤣

Unatolea mifano wa timu zilizowafunga halafu unajisifu Yanga haichezi style hiyo. Nashindwa nikusaidieje...
 
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao

Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani

Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
walijazana nyuma ila matokeo yakuwaje? 😄 😄 😄 😀
 
Kisa tu ...Mmeifunga Mazembe Aliyetolewa Na Vipers.... Vipers ambaye huko aliko CL anapigwa Kama Ngoma...!

Kwa Kweli mnaigilizia Vizuri Mwaka huu kutoka kwa Simba,Sasa Nyie endeleeni Kudesa Kwa Timu Kubwa Simba Jinsi Ya Kuenenda..! Acheni Kuchonga.!
 
Amfunge Monastir hapa Dar kwa goli mbili au zaidi,
Kuwafunga TP Mazembe na Bamako mshajiona mabingwa?
Na Simba iliyomfunga Al Ahly na JS Saora, timu bora kabisa za kiarabu waseme nini?
 
Kwa kikosi nnavyokiona sikupingi kabisa

Makolo Kwa ule mpira wao....huku wangetoka Kwa aibu
 
Yanga tusilewe sasa.Kwel timu iko vyedi ila sio kwa kujipa matumaini haya namna hii.
Tuwe na kiasi.
Hapa tu kupita kwenda robo bado tuko mguu nje mguu ndani hati hati...lolote laweza kutokea
Kama meshindwa kumfunga Bamako nje ndani mtaweza kweli?
Yanga akiwa nyumbani anafanya vizuri akiwa nje anaboronga.
Simba anapiga nje ndani. Akiwa home au away ana uwezo wa kufanya vizuri.
 
Ofcz lolote laweza tokea ila si vizur Yanga kuanza kujimwambafy mapema namna hiii
 
Kwa kikosi nnavyokiona sikupingi kabisa

Makolo Kwa ule mpira wao....huku wangetoka Kwa aibu
Wanacheza kombe la walioshindwa wanajiita mabingwa.
Bamako angefungwa nje na ndani kama angecheza na Simba. Kama meshindwa kumfunga Bamako kwao basi Yanga haina uwezo wa kucheza Club bingwa.
Yanga alikuwa anacheza club bingwa inakujuaje acheze kombe la losers' cup?
 
Ofcz lolote laweza tokea ila si vizur Yanga kuanza kujimwambafy mapema namna hiii
Yanga akiwa away ni mbovu 100%.
Yanga mechi za away ameshinda ngapi?
Yanga haina uwezo wa kucheza kombe la washindi.
Yanga anauwezo wa kucheza kombe la timu zilizoshindwa kwenye kombe la washindi.
 
Sawa ..ni mawazo yako na muhimu kuheshimiwa mkuu
 
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao

Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani

Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Mayele ni mzuri akiwa Tanzania ila akiwa away ni mbovu sana.
Kama utopolo wameshindwa kumfunga Bamako away basi awe anapiga mazoezi kucheza losers' cup.
Haya ndiyo matokeo yake, timu zinaenda kupiga kambi Misri, Dubai, Afrika kusini n.k ila Yanga anapiga kambi Mtwara au Lindi.
Sasa siku wakipangiwa mechi za away na wachezaji hawajazoea kupanda ndege kwenda mbali.
Ndiyo maana Yanga haifanyi vizuri away
 
1. Simba anacheza Club bingwa Afrika
2. Yanga anacheza Shirikisho (losers' cup).
Yanga haina hadhi ya kufananishwa na Simba.
Mmhhhh sasa hapa huongei ki sport..umeanza kuongea kimbumbumbu...Anyway hata hivyo mi sio mjuzi sasa acha waje wenye yanga yao..mi ni mpenz wa kawaida tuu wa soka
 
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao

Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani

Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Simba yupo kwenye club bingwa afrika
Yanga yupo shirikisho ( Timu ambazo hazina uwezo wa kucheza club bingwa)
Muache kufananisha pilau kuku (club bingwa) na makande (Shirikisho)
 
Kama meshindwa kumfunga Bamako nje ndani mtaweza kweli?
Yanga akiwa nyumbani anafanya vizuri akiwa nje anaboronga.
Simba anapiga nje ndani. Akiwa home au away ana uwezo wa kufanya vizuri.
Usiwe na akili ya kukariri, Monastir ambaye ndiye anayeongoza kundi la Yanga na ambaye ndiye timu iliyomtoa bingwa mtetezi (Berkane) katika mashindano, imeshindwa kumfunga Bamako nje ndani. Monastir walitanguliwa ila wakaja kuchomoa goli na mechi kuisha sare. Kwahiyo hiyo Bamako usifikiri ni wabovu kisa wamefungwa na Yanga.

Kitu cha pili ni kwamba Yanga hakuwa na utamaduni wa kufanya vizuri akiwa nyumbani, huo utamaduni alikuwa nao Simba wa kutegemea kuwa utakuja nawewe kwetu utaona. Yanga walimtoa Club African nyumbani kwake huko huko. Bamako kaponea chupu chupu kufungwa kwake kasawazisha dakiks za mwisho.

Kama unafatilia mpira utaona kuna kitu kinaenda kutokea mbeleni, endapo hakutakuwa na mvurugano wa kuondoka wachezaji muhimu na benchi la ufundi la Yanga na kufanya maingizo machache tu, Yanga inaenda kutengeneza ufalme wake katika michuano ya kimataifa. Timu zinachozeza na Yanga zinacheza kwa nidhamu kubwa na kuwa wanyonge na kusubiria counter attack hata wakiwa majumbani kwao. Ni wakati tu wa Yanga kujiimarisha katika mapungufu machache waliokuwa nayo. Kwenye performance ipo vizuri ni swala la kujiimarisha katika umakini tu (ushambuliaji na ulindaji)
 
Back
Top Bottom