kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma