Yanga anaweza kuchukuwa kombe ili la shirikisho

Timu yoyote inaweza ndo maana huwa zinapambana
 
Unafikiri South Afrika tumewazidi mpira?
Hapa Tanzania tuna timu mbili tu Simba na Yanga. Hapo huoni km tupo sawa?
Nimeuliza Kuna timu gani ya sauzi ipo shirikisho mzee,sababu Sina taarifa
 
Kufuzu tu hii hatua hatatafuzu.maana itakuwa hivi

Yanga atatoa sare ama kufungwa na Monastr then Mazembe atampiga Bamako atakuwa na points 6 huku yanga akibaki na points zake 6 ama saba. Halafu ataenda Lubumbashi kwa Mazembe mwenye points 6 na hiyo mechi itakuwa ngumu kwao pale Lubumbashi watapigwa na Mazembe
 
Amka utakojolea sofa ya shemeji yako..ndoto ya uongo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…