Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza Kuna timu gani ya sauzi ipo shirikisho mzee,sababu Sina taarifaUnafikiri South Afrika tumewazidi mpira?
Hapa Tanzania tuna timu mbili tu Simba na Yanga. Hapo huoni km tupo sawa?
Hii kichwa imepewa mamlaka ya kuishiKama meshindwa kumfunga Bamako nje ndani mtaweza kweli?
Yanga akiwa nyumbani anafanya vizuri akiwa nje anaboronga.
Simba anapiga nje ndani. Akiwa home au away ana uwezo wa kufanya vizuri.
Ni kweli mpk sasa yupo club bingwa.Sawaa..ingawa hata mwaka huu Yanga kacheza club bingwa!!
marumo gallantsNimeuliza Kuna timu gani ya sauzi ipo shirikisho mzee,sababu Sina taarifa
Ahahaha alishatolewaNi kweli mpk sasa yupo club bingwa.
Nasema uongo ndugu zangu?
Okmarumo gallants
Amka utakojolea sofa ya shemeji yako..ndoto ya uongo hiyoKama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa mashambulizi ya timu pinzani zaidi ya timu pinzani ndo wana mipira ya defancel total kuogopa washambuliaji wa Yanga uku wakitegemea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
Fiston mayele ukimuachia walinzi wa tatu nyuma alafu awe katika position ya kukimbia hakika ana kuazibu vizuri na ndicho wanacho ogopa wapinzani
Al hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Baada ya kujikojolea unawashauri wenzako [emoji122][emoji122][emoji122]Amka utakojolea sofa ya shemeji yako..ndoto ya uongo hiyo
Vipi mkuu tuendelee na msimamo au tuyaache?1. Simba anacheza Club bingwa Afrika
2. Yanga anacheza Shirikisho (losers' cup).
Muache kufananisha pilau kuku na makande
Tuendelee na msimamo au tuyaache?Muache kufananisha club bingwa na shirikisho.
Muziki wa club bingwa muulize Yanga atakupa majibu vizuri. Club bingwa wanacheza wanaume tu