Wapo watu watabisha jirani. πTutawapiga nje ndani. Niamini mimi na hayo maneno yangu
Nakubaliana na wewe jirani haina kukata tamaa mpaka tone la mwisho.Tutawapiga nje ndani. Niamini mimi na hayo maneno yangu
Usikute haujaelewa nilichoandika dah! Mm Ni Yanga dam kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] Hata nyie mikia mlitamba mna kikosi cha Zaidi ya B 1 lakini mwisho wa siku Du Songo wakawaduwaza.
Hivyo wacheni kutukatisha tamaa.
Tumehujumiwa.........Ee Mungu kwa nn umeruhusu hili litokee?sura zetu tutazificha wapi na hawa mikia
Mungu na atupitishe, kwenye Mpira lolote hutokea.....Yanga mbele daima, nyuma mwikoMchezo wa kwanza ni Utafanyika hapa Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba na MarudianoTarehe 1 Novemba 2019. Kila la heri Young Africans Sports Club.
Kwasasa tusiwakatishe tamaa mikia fc tuwape nafasi wakae siti za mbele washuhudie kwa macho yao.Hahahaa. Kama walivyokuwa wanaipaisha Township Rollers.
Hawa jamaa bana. Ikifika hiyo siku ndio mbivu na mbichi zitajulikana. Waache kupiga mdomo.
Ooh. Itakuwa hivyo basi. Pole.Usikute haujaelewa nilichoandika dah! Mm Ni Yanga dam kabisa
Hakika Mkuu.Kwasasa tusiwakatishe tamaa mikia fc tuwape nafasi wakae siti za mbele washuhudie kwa macho yao.
HahahahahahahaShadeeya njoo uone hizi hujuma huku
You have lovely fat assWhy always me?
Mimi ni mmoja wa hao watakaopingaWapo watu watabisha jirani. π
Nilikua namsikia Madega wakati akiwa Mwenyekiti wenu eti kwa Chura FC mpira haujaisha hadi uisheπ€£π€£π€£, mnapenda kujipa moyo nyie ShadeeyaNakubaliana na wewe jirani haina kukata tamaa mpaka tone la mwisho.
Tuanze kutafuta jezi mapemaaaa