Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

[emoji23][emoji23][emoji23] Hata nyie mikia mlitamba mna kikosi cha Zaidi ya B 1 lakini mwisho wa siku Du Songo wakawaduwaza.

Hivyo wacheni kutukatisha tamaa.
Usikute haujaelewa nilichoandika dah! Mm Ni Yanga dam kabisa
 
Mchezo wa kwanza ni Utafanyika hapa Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba na MarudianoTarehe 1 Novemba 2019. Kila la heri Young Africans Sports Club.
Mungu na atupitishe, kwenye Mpira lolote hutokea.....Yanga mbele daima, nyuma mwiko
 
Hahahaa. Kama walivyokuwa wanaipaisha Township Rollers.

Hawa jamaa bana. Ikifika hiyo siku ndio mbivu na mbichi zitajulikana. Waache kupiga mdomo.
Kwasasa tusiwakatishe tamaa mikia fc tuwape nafasi wakae siti za mbele washuhudie kwa macho yao.
 
Back
Top Bottom