Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yajayo yanasikitisha, Pilipili Hoho FC watapigwa nyingi mno, ili kidomodomo kiwe mwisho..Kila la heri Pyramids matajiri wa Misri..[emoji23][emoji23]Ee Mungu kwa nn umeruhusu hili litokee?sura zetu tutazificha wapi na hawa mikia
Pyramid timu mbovu waarabu koko hawana uwezo hata wa kutoa sare na Yanga. Yanga hawawezi kufungwa na timu ya daraja la 2Yajayo yanasikitisha, Pilipili Hoho FC watapigwa nyingi mno, ili kidomodomo kiwe mwisho..Kila la heri Pyramids matajiri wa Misri..[emoji23][emoji23]
Hapo ukijumlisha hao wachezaji sita tu billion 81 huku kwetu mtu kutoa billion 20 tu anataka mpaka na hatiMwe Mwe....!Halafu hawa wapambane na wale ambao hawafungi mpaka mipira ya kutengwa au magoli ya utata..Hoho FC [emoji23]View attachment 1227939
Ila wasijali yanga wana molinga laki tatu na nusuMwe Mwe....!Halafu hawa wapambane na wale ambao hawafungi mpaka mipira ya kutengwa au magoli ya utata..Hoho FC [emoji23]View attachment 1227939
Yetu macho!hao Pyramid timu mbovu hawana uwezo hata wakutoa sare na Yanga, Yanga anashinda mechi zote nyumbani na ugenini
Mwali=MwalimuMwali kashasha unazungumziaje hili bao la nne kwa upande wa waarabu
Sema kweliTunawamudu
Simba walikuwa na wabrazil 3, wakatolewa na wamakonde UD SONGO, ukiona mchezaji katoka brazil kaja afrika ujue hilo ni garasaMwe Mwe....!Halafu hawa wapambane na wale ambao hawafungi mpaka mipira ya kutengwa au magoli ya utata..Hoho FC [emoji23]View attachment 1227939
Sio kwamba mmeujumiwa?
Shukran mkuuMwali=Mwalimu
Mbona mnateseka?Kuna mkono wa mikia aisee