Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajiskia rahaIkiishia hapo inawasaidia nini nyie mikia?
Apo sasaNyie mwaka jana mlivyokuwa mnashangilia simba kutolewa na tp mazembe ilikuwa inawasaidia nini
Zesco😂😂😂😂Maumivu yakizidi meza UD Songo Kanuni Moja
Zesco😂😂😂😂Maumivu yakizidi meza UD Songo Kanuni Moja
Kwa nini hawa wasenge CAF kila ratiba tunaanzia nyumbani mamaake.Je atatoboa?View attachment 1227914
[emoji2][emoji2][emoji54]ko tunaenda kupambana na wanajeshi au
Wanaihujumu yanga mkuu...hao wamepewa hela na simba ili waihujumu yanga...Kwa nini hawa wasenge CAF kila ratiba tunaanzia nyumbani mamaake.
Kaka yao al ahly tuliwatoa jasho sembuse hvyo vtoto
Caf hawajatutendea haki
sasa ilikuwaje hawajawa mabingwa wa misri hao pyramids? ilikuwaje wakawa kombe la shirikisho, halaf vibonde wao al ahly wakawa klabu bingwa? PYRAMID NI TIMU MBOVU TU KAMA SIMBASasa huyo Al-Ahly muliyemtoa Jasho kashpigwa na Pyramids FC game 6 mfululizo nje ndani.
Sasa kama Kibonde wa Pyramids FC umeishia kumtoa jasho tu! Je nyinyi Ndala FC si mutachunwa Ngozi kabisa na Pyramid FC [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
haha naona simba mnalazimisha pyramid ionekane timu kubwa wakati ni katimu kadogo tu , timu kubwa misri ni zamalek na al ahly tu, nyingine mbovu tuWanaihujumu yanga mkuu...hao wamepewa hela na simba ili waihujumu yanga...
Tarehe 27 ndo tutakaona vizuri katimu ka pyramid kalivyo kadogohaha naona simba mnalazimisha pyramid ionekane timu kubwa wakati ni katimu kadogo tu , timu kubwa misri ni zamalek na al ahly tu, nyingine mbovu tu