Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Hakuna kukata tamaa nitaamini tumetoka After 90mins za kuleee Misri.

Hivyo mpaka sasa nina imani na Timu yangu ya Wananchim
Haitakiwi mkate tamaa,hata sisi hatupendi mkate tamaa ili maumivu kuanzia tarehe 27 yaingie vizuri....mkikata tamaa maumivu hayataingia sawasawa
 
Haitakiwi mkate tamaa,hata sisi hatupendi mkate tamaa ili maumivu kuanzia tarehe 27 yaingie vizuri....mkikata tamaa maumivu hayataingia sawasawa
Nikukumbushe Mtani pia sisi sio wale wanaopigwa 5 5 nje.
 
Daima mbele,nyuma mwiko
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Sasa huyo Al-Ahly muliyemtoa Jasho kashpigwa na Pyramids FC game 6 mfululizo nje ndani.

Sasa kama Kibonde wa Pyramids FC umeishia kumtoa jasho tu! Je nyinyi Ndala FC si mutachunwa Ngozi kabisa na Pyramid FC [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hizi kauli zenu Mtani mtu anaeza asipeleke timu uwanjani kwa matisho yenu.

Niseme tu tutaamini kwamba tutafungwa siku ya mechi na si sasa.
 
Kama tembo aliuliwa na sisimizi itakuwa Yanga kumfunga pyramid?
Mabilioni waliyo sajilia kikosi sisi haya2husu.
😂😂😂 Hata nyie mikia mlitamba mna kikosi cha Zaidi ya B 1 lakini mwisho wa siku Du Songo wakawaduwaza.

Hivyo wacheni kutukatisha tamaa.
 
haha naona simba mnalazimisha pyramid ionekane timu kubwa wakati ni katimu kadogo tu , timu kubwa misri ni zamalek na al ahly tu, nyingine mbovu tu
Wamekuwa wakaanga mbuyu.

Niseme tu Waiache Yanga mpaka ikishindwa kutafuna ndio waje na hizi porojo zao.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Wanaihujumu yanga mkuu...hao wamepewa hela na simba ili waihujumu yanga...
haha naona simba mnalazimisha pyramid ionekane timu kubwa wakati ni katimu kadogo tu , timu kubwa misri ni zamalek na al ahly tu, nyingine mbovu tu
 
PYRAMIDS.png
 
Back
Top Bottom