Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Lazima Yanga tushindeee.
Daima mbele, kikosi chetu kipo vizuri zaidi.
 
Ee Mungu kwa nn umeruhusu hili litokee?sura zetu tutazificha wapi na hawa mikia
Yajayo yanasikitisha, Pilipili Hoho FC watapigwa nyingi mno, ili kidomodomo kiwe mwisho..Kila la heri Pyramids matajiri wa Misri..[emoji23][emoji23]
 
Yajayo yanasikitisha, Pilipili Hoho FC watapigwa nyingi mno, ili kidomodomo kiwe mwisho..Kila la heri Pyramids matajiri wa Misri..[emoji23][emoji23]
Pyramid timu mbovu waarabu koko hawana uwezo hata wa kutoa sare na Yanga. Yanga hawawezi kufungwa na timu ya daraja la 2
 
Mwe Mwe....!Halafu hawa wapambane na wale ambao hawafungi mpaka mipira ya kutengwa au magoli ya utata..Hoho FC [emoji23]
 
Pyramids "The Big Spenders of Egypt" wamejitutumua hadi sasa katika msimu wao wa kwanza ndani ya Mashindano ya Vilabu Barani Afrika.

Kituo kinachofuata ni dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu @YangaSCTanzania
 
Hii team kwenye mkeka haijawai kuninyima mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…