Kufuzu toka makundi kwenda robo fainaliMbona wameshafuzu na wanashiriki makundi? Au ulitaka kusema robo fainali?
Vv
Vipi na nyinyi mshavuka tayari msimu huu kwenye hiyo hatua?
Sasa sema kuvuka hatua ya makundi sio kufuzu.
Kwani hiyo 98 Yanga si aliishia robo Fainali auNi ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.
Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.
Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
Mbumbumbu wengi 1998 hawajui Yanga alicheza robo fainali.1998 yanga iliingia 8 bora na robo fainali ni 8 bora !
Mbona unalizii aliishia kuwa wa mwisho ktk kundi lake. Na akala 6-0 toka kwa raja Casablanca [emoji23][emoji23]Mbumbumbu wengi 1998 hawajui Yanga alicheza robo fainali.
Takwimu za 1998 za CAF champion league zipo wazi ila Sasa u mbumbumbu umewafunika.
Wengi walikuwa wadogo au hawakuwa wakifuatilia sokaMbumbumbu wengi 1998 hawajui Yanga alicheza robo fainali.
Takwimu za 1998 za CAF champion league zipo wazi ila Sasa u mbumbumbu umewafunika.
Ila Daressalaam alitoka Sare na Raja Casablanca Bingwa mtetezi !Mbona unalizii aliishia kuwa wa mwisho ktk kundi lake. Na akala 6-0 toka kwa raja Casablanca [emoji23][emoji23]
Sasa kama mpira wa 1998 ulikua ukionyeshwa na Itv hakukua na malipo yoyote na hujui chocchote Mimi nahusika vipi!Mbona unalizii aliishia kuwa wa mwisho ktk kundi lake. Na akala 6-0 toka kwa raja Casablanca [emoji23][emoji23]
Ni uoga wenu tu. Wenye timu yetu tumerelax wala hatuna wasiwasi. Tukishindwa mwaka huu tutajaribu mwakani, lengo ni kutengeneza timu ya kuchukua ubingwa sio kufika robo fainali na tunajua ni mchakato utakaohitaji muda.Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.
Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.
Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
Yanga alicheza robo fainal mwaka 1998Yanga lengo lake kuu tangu 1998 mpaka sasa ilikuwa nikutafuta kufanikiwa kuingia makundi club bingwa ila baba yake au mfalme wake Simba alishacheza robo final mara 5 na lengo lake ni kucheza final..kwa hiyo kwenye haya malengo tiyari anajulikana baba na mfalme wa soko Tanzania,afrika mashariki na kati ni Simba cl
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.
Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.
Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
Uwe na heshima blood a.ss baboon. Unadhani kila mtu humu mtoto. Hiyo 1998 nmeshuhudia mechi moja ya Yanga Mwanza.Sasa kama mpira wa 1998 ulikua ukionyeshwa na Itv hakukua na malipo yoyote na hujui chocchote Mimi nahusika vipi!
Inawezekana ulikua Bado kwenye korodani za baba Yako au ulikua sehemu ya karanga zinazouzwa kwenye makapu ya wauzaji
Mimi nahusika vipi na ulewa wako!!
Nakazia wewe Bado ulikua sehemu ya protein kwenye korodani za mzee wako kama si karanga kwenye kapu la muuzaji.Uwe na heshima blood a.ss baboon. Unadhani kila mtu humu mtoto. Hiyo 1998 nmeshuhudia mechi moja ya Yanga Mwanza.
Nmeanza kuangalia mpira wewe hata Baba yako hajamtongoza mamako. #£+&/#.
1991 fainali Simba na Yanga Zanzibar east and central mwakalebela akakosa penalty uliwahi hata kusikia. 1993 yanga bingwa east and central Nakivubo Uganda. Matak.o ya shangazi yako usidhani kila mtu mtoto wa 2000.
Au nikutajie kikosi kizima cha Simba walifika fainali CAF 1993 kuanzia mwameji hadi Chumila au unataka Simba ya William fanibulla na Shekhani Rashid.