Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.
Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.
Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.