Yanga asipofuzu makundi rekodi inabaki ile ile ya 1998

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.

Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.

Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
 
Mbona wameshafuzu na wanashiriki makundi? Au ulitaka kusema robo fainali?

Vv
 
Moja kati ya malengo ya timu ya Yanga msimu huu kimataifa ni kushiriki hatua ya makundi tu. Which wamefanikiwa so wakishindwa kuendelea au wakiendelea ni outcomes tu
 
Yanga lengo lake kuu tangu 1998 mpaka sasa ilikuwa nikutafuta kufanikiwa kuingia makundi club bingwa ila baba yake au mfalme wake Simba alishacheza robo final mara 5 na lengo lake ni kucheza final..kwa hiyo kwenye haya malengo tiyari anajulikana baba na mfalme wa soko Tanzania,afrika mashariki na kati ni Simba cl
 
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.

Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.

Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
Kwani hiyo 98 Yanga si aliishia robo Fainali au
 
1998 yanga iliingia 8 bora na robo fainali ni 8 bora !
Mbumbumbu wengi 1998 hawajui Yanga alicheza robo fainali.
Takwimu za 1998 za CAF champion league zipo wazi ila Sasa u mbumbumbu umewafunika.
 
Mbona unalizii aliishia kuwa wa mwisho ktk kundi lake. Na akala 6-0 toka kwa raja Casablanca [emoji23][emoji23]
 
Wengi walikuwa wadogo au hawakuwa wakifuatilia soka
 
Mbona unalizii aliishia kuwa wa mwisho ktk kundi lake. Na akala 6-0 toka kwa raja Casablanca [emoji23][emoji23]
Ila Daressalaam alitoka Sare na Raja Casablanca Bingwa mtetezi !
Goli sita sio ajabu Kwenye Mpira Mbona simba alipigwa 5 x 2
 
Mbona unalizii aliishia kuwa wa mwisho ktk kundi lake. Na akala 6-0 toka kwa raja Casablanca [emoji23][emoji23]
Sasa kama mpira wa 1998 ulikua ukionyeshwa na Itv hakukua na malipo yoyote na hujui chocchote Mimi nahusika vipi!
Inawezekana ulikua Bado kwenye korodani za baba Yako au ulikua sehemu ya karanga zinazouzwa kwenye makapu ya wauzaji
Mimi nahusika vipi na ulewa wako!!
 
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.

Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.

Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
Ni uoga wenu tu. Wenye timu yetu tumerelax wala hatuna wasiwasi. Tukishindwa mwaka huu tutajaribu mwakani, lengo ni kutengeneza timu ya kuchukua ubingwa sio kufika robo fainali na tunajua ni mchakato utakaohitaji muda.
 
Yanga lengo lake kuu tangu 1998 mpaka sasa ilikuwa nikutafuta kufanikiwa kuingia makundi club bingwa ila baba yake au mfalme wake Simba alishacheza robo final mara 5 na lengo lake ni kucheza final..kwa hiyo kwenye haya malengo tiyari anajulikana baba na mfalme wa soko Tanzania,afrika mashariki na kati ni Simba cl
Yanga alicheza robo fainal mwaka 1998
 
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi kuna walioolewa na wapo kwenye ndoa,vijana wameshamaliza vyuo lakini Yanga bado haijaingia kwenye robo ya club bingwa.

Inabidi ijitahidi kutoa hii aibu ya miongo miwili na nusu, na isipoingia mwaka huu inawezekana tukawasahau kabisa maana kwa wanavyodai wamejipata na wapo kwenye pick.

Ni matumaini yangu timu ya wananchi itajitahidi kuondokana na hii aibu, maana mwenzake imekua jambo la kawaida.
1702473651203.png
 
Sasa kama mpira wa 1998 ulikua ukionyeshwa na Itv hakukua na malipo yoyote na hujui chocchote Mimi nahusika vipi!
Inawezekana ulikua Bado kwenye korodani za baba Yako au ulikua sehemu ya karanga zinazouzwa kwenye makapu ya wauzaji
Mimi nahusika vipi na ulewa wako!!
Uwe na heshima blood a.ss baboon. Unadhani kila mtu humu mtoto. Hiyo 1998 nmeshuhudia mechi moja ya Yanga Mwanza.
Nmeanza kuangalia mpira wewe hata Baba yako hajamtongoza mamako. #£+&/#.
1991 fainali Simba na Yanga Zanzibar east and central mwakalebela akakosa penalty uliwahi hata kusikia. 1993 yanga bingwa east and central Nakivubo Uganda. Matak.o ya shangazi yako usidhani kila mtu mtoto wa 2000.
Au nikutajie kikosi kizima cha Simba walifika fainali CAF 1993 kuanzia mwameji hadi Chumila au unataka Simba ya William fanibulla na Shekhani Rashid.
 
Nakazia wewe Bado ulikua sehemu ya protein kwenye korodani za mzee wako kama si karanga kwenye kapu la muuzaji.

Hakuna fainali ya Afrika mashabiki nakati iliyo husisha Simba na Yanga iliyochezwa Zanzibar mwaka 1991.
Mwakaka 1991 fainali za mashindano ya klabu bingwa ya Afrika Mashabiki na kati yalifanyika Shamba la Bibi.
Simba alimfunga Sports club villa goli 3-0.

Kama wewe ulifanikiwa kuona fainali ya Simba vs Stella ( Abiola cup) ebu nitajie katika mashindano ayo, Simba mechi yake ya kwanza alicheza na nani? Uwanja upi ulitumika kwa mechi ya Simba ya kwanza nyumbani.
Na Magoli ya Simba yalifungwa nani kabla yakufikia hatua ya pili ya mashindano.
 
Back
Top Bottom