Yanga ataishangaza dunia

Mshana Jr, my Brother, Mbona unaomba kujiabisha mwenyewe mapema sana.

Muda unasema wenyewe stay online!!!
 
Mshana Jr, my Brother, Mbona unaomba kujiabisha mwenyewe mapema sana.

Muda unasema wenyewe stay online!!!
Uzalendo!
Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba kafara litamfanya mwamnyeto awe Ruben Dias. Nyinyi ndio mlimshauri Malinzi aunde taifa stars Kwa wachezaji WA mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…