cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeacha mjukuu siku hizi nakula msubaWakati anaandika hili bandiko alikua kalewa Nyagi huyu babuu sio buree.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muongo wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisaMuongo wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NA KWELI DUNIA IMESHANGAA BAADA YA MIAKA 88 NDIO UNACHEZA FAINAL? NA BADO UNAAMBULIA MEDALI DUNIA IMESTAAJABU SANAPamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app